Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Hii kesi kuimaliza rahisi sana,hapo unayajenga na mpelelezi,uchunguzi uendelee hata miezi sita,badala ya kilo 30,unapoteza zote unaacha nusu kilo,unachanganya na ngano,Kwanza ni kosa lao kwanza,hapo Hakimu anapunguza miaka mnapigwa,miaka 15!ila kifungo Cha nje,
Ubaya hicho kitengo kwa sasa kimesheheni watu wa usalama.

Kila mtu sasa anamuogopa mwenzie.
 
kwa hiyo unasema Rushwa ndio inakwamisha kumaliza biashara ya madawa ya kulevya Tz?!
hapana kwa upande wangu hilo siliamini kwa jinsi kitengo hiki kilivyo jidhatiti ktk kupambana.sio ktk awamu hii ya 5,
ila ninachoomba kwa kikosi hiki waongeze mbinu za kuvunja kabisa mtandao huu wa wauza dawa za kulevya, wahirika wote lazima watiwe nguvuni hapo ndio biashara hii itakwisha kabisa,
wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ni watu hatari sana, mimi nawafananisha na majambazi, hivyo mbinu za ziada zinahitajika.
tunataka Tanzania isiwe na madawa ya kulevya......inawezekana endapo tutawapa ushirikiano.
tutoe taarifa za siri.
Sijui unaishi dunia gani ndugu,kwa taarifa yako tu hakuna mzungu wa unga asiyejulikana,hususan Dar...mgao unatembea ndo mana wanaexist bado.

Kitu cha pili,sikutishi ila nakwambia toka na hizo info zako kuhusu wazungu wa unga uende ukatoe ushirikiano Police ndo utajua hujui.
 
Wanaandikaga caption ndefu ukosoma unajiona boya kwenye utafutaji
😂😂😂 kuna mwana hua anaandika ma caption yale #Moneymaker#Everyday is holiday#Manhood=Mo money#Money Trap etc hahah,bahati mbaya huko instagram sipo siku hizi sijui aliendeleaje na hizo mambo.
 
Sijui unaishi dunia gani ndugu,kwa taarifa yako tu hakuna mzungu wa unga asiyejulikana,hususan Dar...mgao unatembea ndo mana wanaexist bado.

Kitu cha pili,sikutishi ila nakwambia toka na hizo info zako kuhusu wazungu wa unga uende ukatoe ushirikiano Police ndo utajua hujui.

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
nakushangaa!!!
unaongelea zama zilizo pita au zama hizi za JPM???
sidhani, vita hii yanmapambano dhidi ya wafanya biashara wa madawa ya kulevya ilikolezwa moto na aliye kuw Mkuu wa Mkoa w DSM na baada ya hapo mapambano yaliendelea na wahusika wengi walikamatwa na wengine walisalimu Amri,
sasa hali inaonekana kama vile imeaanza kuibuka, inaonekana kama vile wamepata nguvu ya kuamka,
tunaomba kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya kiongeze juhudi zaidi.
 
Unaongelea propaganda,naongelea maisha halisi yalivyo mtaani.... anyways, let's agree to disagree.
 
Back
Top Bottom