Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Hii kesi kuimaliza rahisi sana,hapo unayajenga na mpelelezi,uchunguzi uendelee hata miezi sita,badala ya kilo 30,unapoteza zote unaacha nusu kilo,unachanganya na ngano,Kwanza ni kosa lao kwanza,hapo Hakimu anapunguza miaka mnapigwa,miaka 15!ila kifungo Cha nje,
Unaota au?
 
Nani yupo nyuma ya huo mzigo? Maana hao machalii lazima Kuna connect ambaye Ni Papa mkuu. Wamtaje. Wamezipataje kilo zote hizo? Kuna mtu hapo mwenye jina lake na pesa zake akamatwe Kama kweli Wana Nia ya kumaliza hilo suala.
Wangekua na nia na huyo Don wangeshamkamata wanamjua na hata madogo hawajakamatwa bahati mbaya...achana na movie za bongo hizi nenda netflix kule kuna series kali kuliko hizi.
 
Haitakiwi upagawe saaana nimambo ya kawida hpo inatakiwa uwe mpole usubil hukum kama hukum ni maisha.aise fanya juhudi ufe hataa na afande mmoja kwa kumpora bunduki
Asijaribu, atachezea kipigo cha mbwa koko, na kufa hafi na kilema atabaki kacho.. awe mpole tu
 
mrangi hao wajomba watatoka na hutaamini, ni watoto wa mtu hapa town sio rahisi kuwafunga ila jamaa anafanya biz kisenge sana. Keshawaharibia madogo ila enewei mfanyabiashara kapata hasara tu hapo
Naomba Magufuli asome hii comment, ili ndio mjue jamaa wao hajui..
 
Na huyo allu ni pisi kali kishenzi, ukimuona kama wakutoka nje vile.
yaani hao japo wamejifunika ila wanaonekana ni pisi kali balaa, em tupia picha ya Allu au ya Fatima au zote mbili
 
Sisi sio producers wa hayo mambo hivyo haiwezi kuwa na bei ndogo kiasi hicho kuliko USA ambapo ni pua na mdomo.

Pia Tz hakunaga cocaine mzigo mkubwa hivyo maana watumiaji wa cocaine hawapo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Hivi ni cocaine au ni heroin? I thought wamekutwa na heroin
 
Sisi sio producers wa hayo mambo hivyo haiwezi kuwa na bei ndogo kiasi hicho kuliko USA ambapo ni pua na mdomo.

Pia Tz hakunaga cocaine mzigo mkubwa hivyo maana watumiaji wa cocaine hawapo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Kinachofanya bei kubwa na ndogo, ni ulinzi wa kuingiza mzigo eneo husika
 
mrangi hao wajomba watatoka na hutaamini, ni watoto wa mtu hapa town sio rahisi kuwafunga ila jamaa anafanya biz kisenge sana. Keshawaharibia madogo ila enewei mfanyabiashara kapata hasara tu hapo
Sio kwa utawala huu mkuu..

Kuna watu wana watu wazito kuliko hao.

Lakini miaka sasa wapo ndani.
 
KILOGRAM THELATHINI?

30 KG?

Watoto wadogo wanaendesha Range Rover si tunapambana miaka nenda rudi ndio tunapata Passo used 4th end baada ya kuchukua mkopo NMB. Dah.
Ila hawa watoto majasiri aisee miaka 24? Halafu napendekeza dera liwe vazi maalum la mahakamani kwa wanawake, wamejificha vizuri sana
 
Eti viduka uchwara! Sema nao wamezidi sana kukariri mambo, yaani kila muuza ngada utakuta anazugia kwenye kuuza nguo, simu au vigari kadhaa vya kuzugia, mbona huwa hawadeal maybe na viwanda vidogo vidogo au vitu vingine?
Mambo ya viwanda yanaumiza kichwa na wao wanapenda vitu rahisi yaani unanunua unauza imeisha kama mmachinga vile.
 
Viwanda vitawapaka grease..


Nani kakwambia kulikua shwari? nchi kama Tz haiwezi dhibiti biashara hii bali ni mbwembwe za kujisifu tu.
Imagine pamoja na sheria kali za china au arabuni na bado watu wana smuggle mizigo,sembuse nchi ya wala rushwa hii? think twice.
kwa hiyo unasema Rushwa ndio inakwamisha kumaliza biashara ya madawa ya kulevya Tz?!
hapana kwa upande wangu hilo siliamini kwa jinsi kitengo hiki kilivyo jidhatiti ktk kupambana.sio ktk awamu hii ya 5,
ila ninachoomba kwa kikosi hiki waongeze mbinu za kuvunja kabisa mtandao huu wa wauza dawa za kulevya, washirika wote lazima watiwe nguvuni hapo ndio biashara hii itakwisha kabisa,
wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ni watu hatari sana, mimi nawafananisha na majambazi, hivyo mbinu za zidi zinahitajika.
tunataka Tanzania isiwe na madawa ya kulevya......inawezekana endapo tutawapa ushirikiano.
tutoe taarifa za siri.
 
Back
Top Bottom