Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Ulini quoit mm mkuu ,labda ulichanganya
Screenshot_20210312-131825.png

Nilitaka kuweka rekodi sahihi tu mkuu. Watu wengi wanachanganya ni bidhaa tofauti hizo. Wewe na mrangi najua mnaelewa. So sina shaka na bei ulizoandika

Niliyemquote aliongelea Cocaine mkuu
 
Sio kuhisi

Huwez zungumziwa sana kiasi hiko na bado ikawa ni hisia.

Lisemwalo lipo ..ni muda tu.
Hata mtu akivumishiwa ni shoga,,
Lazima kuna basha kishamla na ndy kavujisha taarifa.

Nina maana hizi biashara hufanyi peke yako.

--Utafanya wewe.
--Utatuma mtu..

--Utakwenda kufata pesa.

--Utadai madeni.

Huko ndy unapokutana na wauzaji wenzio..

Mimi kuna inchi moja nilishawahi kupita kule,,ktk kutafuta maisha.

Miaka fulani nilikutana na watu wengi sana,
Tena wengine wana wadhifa mjini hapo Tanzania.

Tukashangaana sana.

Wht happened in the jungle stays in the jungle.
 
nakushangaa!!!
unaongelea zama zilizo pita au zama hizi za JPM???
sidhani, vita hii yanmapambano dhidi ya wafanya biashara wa madawa ya kulevya ilikolezwa moto na aliye kuw Mkuu wa Mkoa w DSM na baada ya hapo mapambano yaliendelea na wahusika wengi walikamatwa na wengine walisalimu Amri,
sasa hali inaonekana kama vile imeaanza kuibuka, inaonekana kama vile wamepata nguvu ya kuamka,
tunaomba kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya kiongeze juhudi zaidi.
Wewe unaona yamepamba moto kipindi cha Makonda sababu ya huyo jamaa kupenda attention za Media,sa hivi OP ni kimya kimya tu IMO.
 
30kg? Wataalamu tuambieni street value ya huu mzigo
Du, mi sio mtaalamu lakini huo mzigo mkubwa sana kwa Heroin, ungeingia mtaa lazima ungeondoa at least kijana mmoja, Heroin is very lethal
 
Kuna Bongo Movie walikuwa wanadharau kumbe wafadhiri ndio hawa wauza ngada
Sio bongo muvi tu hata hollywood...biashara ya unga na entertainment industry ni kama pete na kidole
 
Yanayotokea msituni yatabaki msituni.

Hivi unayajuwa yanayoendelea na watu wanaoishi Hongkong to China.?

In every successfully man there is a dark secret behind..
SIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
 
Hata mtu akivumishiwa ni shoga,,
Lazima kuna basha kishamla na ndy kavujisha taarifa.

Nina maana hizi biashara hufanyi peke yako.

--Utafanya wewe.
--Utatuma mtu..

--Utakwenda kufata pesa.

--Utadai madeni.

Huko ndy unapokutana na wauzajj wenzio..

Mimi kuna inchi moja nilishawahi kupita kule,,ktk kutafuta maisha.

Miaka fulani nilikutana na watu wengi sana,
Tena wengine wana wadhifa mjini hapo Tanzania.

Tukashangaana sana.

Wht happened in the jungle stays in the jungle.
Vunja labda kajisogeza kwa babu..ila maduka anayomilk bado ni kawaida sana.
M10 tu kwa biashara ya china ndan ya 2 ys una maduka 6
 
Wewe unaona yamepamba moto kipindi cha Makonda sababu ya huyo jamaa kupenda attention za Media,sa hivi OP ni kimya kimya tu IMO.
hamna cha kimya kimya,
tunataka kuona wauza madawa ya kulevya wote ktk mkoa wa DSM wanafikishwa mahakamani, tunataka kuona mitandao kuanzia wakubwa wao mpaka watumiaji wote wanakamatwa.
kwakweli hivi sasa wauzaji na watumiaji wameanza kuibuka tena.
 
Wamekamatwa wengi hapa juzi kati. Unamfahamu Kiboko yule wa Tegeta. Manyumba na hotel zake yamebaki magofu tu. Kuna wale waliokamatiwa mtwara...yule mwingine wa Tanga...wote hao ni heavyweights sio kama hawa madogo
 
Back
Top Bottom