Wamekamatwa na mademu zao mkuuZam kwa zam,acha ni sisi tuwagonge madem zao kipindi wao wakiwa ngome.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekamatwa na mademu zao mkuuZam kwa zam,acha ni sisi tuwagonge madem zao kipindi wao wakiwa ngome.
Usimchukulie mtu dhamana,,hata hao waliokamatwa kuna watu bado hawaamini.Hushpupp unamsingizia yeye alikuwa anadeal ni wizi wa mtandao tu
Hizo bei ni za heroin.Ila hawa wamekamatwa na Heroin sio Coca
Vunja price kaa chonjo.
Ubaya hicho kitengo kwa sasa kimesheheni watu wa usalama.Hii kesi kuimaliza rahisi sana,hapo unayajenga na mpelelezi,uchunguzi uendelee hata miezi sita,badala ya kilo 30,unapoteza zote unaacha nusu kilo,unachanganya na ngano,Kwanza ni kosa lao kwanza,hapo Hakimu anapunguza miaka mnapigwa,miaka 15!ila kifungo Cha nje,
Sijui unaishi dunia gani ndugu,kwa taarifa yako tu hakuna mzungu wa unga asiyejulikana,hususan Dar...mgao unatembea ndo mana wanaexist bado.kwa hiyo unasema Rushwa ndio inakwamisha kumaliza biashara ya madawa ya kulevya Tz?!
hapana kwa upande wangu hilo siliamini kwa jinsi kitengo hiki kilivyo jidhatiti ktk kupambana.sio ktk awamu hii ya 5,
ila ninachoomba kwa kikosi hiki waongeze mbinu za kuvunja kabisa mtandao huu wa wauza dawa za kulevya, wahirika wote lazima watiwe nguvuni hapo ndio biashara hii itakwisha kabisa,
wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ni watu hatari sana, mimi nawafananisha na majambazi, hivyo mbinu za ziada zinahitajika.
tunataka Tanzania isiwe na madawa ya kulevya......inawezekana endapo tutawapa ushirikiano.
tutoe taarifa za siri.
Wamekamatwa na mademu zao mkuuZam kwa zam,acha ni sisi tuwagonge madem zao kipindi wao wakiwa ngome.
😂😂😂 kuna mwana hua anaandika ma caption yale #Moneymaker#Everyday is holiday#Manhood=Mo money#Money Trap etc hahah,bahati mbaya huko instagram sipo siku hizi sijui aliendeleaje na hizo mambo.Wanaandikaga caption ndefu ukosoma unajiona boya kwenye utafutaji
Huyu labda mseme mchawi ila madawa haiwezekan jamaa kala vumbi sana k.koo
Sijui unaishi dunia gani ndugu,kwa taarifa yako tu hakuna mzungu wa unga asiyejulikana,hususan Dar...mgao unatembea ndo mana wanaexist bado.
Kitu cha pili,sikutishi ila nakwambia toka na hizo info zako kuhusu wazungu wa unga uende ukatoe ushirikiano Police ndo utajua hujui.
Atleast alijaribu kuwa billionea...Ngoja akasote sasa segerea, ndio asha fail
Hivi why mnahis vunja bei anauza unga? Hakuna namna yoyote mnayoona kijana kama yeye kumilik huo umate umate?mzigo wao(wa nguo) hawachukui kwa vunjabei kweli.....Mark this tweet
nakushangaa!!!Sijui unaishi dunia gani ndugu,kwa taarifa yako tu hakuna mzungu wa unga asiyejulikana,hususan Dar...mgao unatembea ndo mana wanaexist bado.
Kitu cha pili,sikutishi ila nakwambia toka na hizo info zako kuhusu wazungu wa unga uende ukatoe ushirikiano Police ndo utajua hujui.
Nimekusoma mkuu. Ila niliyem "quote" ndo kaongelea CocaineHizo bei ni za heroin.
Yanayotokea msituni yatabaki msituni.Huyu labda mseme mchawi ila madawa haiwezekan jamaa kala vumbi sana k.koo
Afu biashara ya nguo china kwa large scale inalipa sana
Sio kuhisiHivi why mnahis vunja bei anauza unga? Hakuna namna yoyote mnayoona kijana kama yeye kumilik huo umate umate?
Ulini quoit mm mkuu ,labda ulichanganyaNimekusoma mkuu. Ila niliyem "quote" ndo kaongelea Cocaine
Unaongelea propaganda,naongelea maisha halisi yalivyo mtaani.... anyways, let's agree to disagree.nakushangaa!!!
unaongelea zama zilizo pita au zama hizi za JPM???
sidhani, vita hii yanmapambano dhidi ya wafanya biashara wa madawa ya kulevya ilikolezwa moto na aliye kuw Mkuu wa Mkoa w DSM na baada ya hapo mapambano yaliendelea na wahusika wengi walikamatwa na wengine walisalimu Amri,
sasa hali inaonekana kama vile imeaanza kuibuka, inaonekana kama vile wamepata nguvu ya kuamka,
tunaomba kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya kiongeze juhudi zaidi.
Nipeni dili wakuu. Please.Hao ni wageni wa kazi hiyo
Inaelekea walipopata line hiyo
Walikuwa na wenge mambo mengi
Acha wanyooshwe kg30 hawatoki kirahisi
Rahisi sahv na walivyokuwa warembo huko
Jela watabadilika
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app