Bado kuna "viboko" wengi wasakwe popote walipo. Tunachotaka sisi wananchi ni kukomesha kabisa hii biashara haramu na mbaya kwa vizazi wa taifa hili, tunataka madawa ya kulevya yawe historia kwa Tanzania.Wamekamatwa wengi hapa juzi kati....unamfahamu Kiboko yule wa Tegeta...manyumba na hotel zake yamebaki magofu tu...kuna wale waliokamatiwa mtwara...yule mwingine wa Tanga...wote hao ni heavyweights sio kama hawa madogo
Lisibakie jiwe juu ya jiwe, hatutaki kusikia tetesi za mfanya biashara wa madawa ya kulevya hapa TZ.