Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Ah ok ndy zile nguo ukifua tu
Imenyweaaa

Ova
 
Ushamba ndiyo unawasukuma huko ili nao waonekane warushweee hewani

Ova
 
Ushamba ndiyo unawasukuma huko ili nao waonekane warushweee hewani

Ova
Mana ishu ka unga hela inaingia sema full time ni kupanga strategy za kuendelea kusavaivu bila kudakwa sa nashangaa watu wanajianika tu... Money laundering imewakalia kushoto...

Afu hv vitoto vilikua na mkwanja ila hat kununua nyumba vimeshindwa vyote vimepanga
 
mkuu hii pesa utanunua nyumba saa ngapi wakati ipo kwenye mali kauli pesa ipo kwa mzunguko na hawa nyumba tofauti na masaki au mbezi beach hawanunui
 
Ukumbuke enzi hizi sio za jakaya, unadhani kg 30 watatoka kirahisi? Mzee case za madawa siku hizi ni tofauti na unavozifikiria, ashindwe kuchomoka omari yanga wachomoke hao madogo? Kirahisi.
Usiishi kwa kukariri faza, koneksheni, konekshen! Tatizo hao watoto hawajajua tu kucheza na mdundo
 
Usiishi kwa kukariri faza, koneksheni, konekshen! Tatizo hao watoto hawajajua tu kucheza na mdundo

Nina wana watatu walikua wana connection kuliko unavodhani na walikua wanavimba na escort hadi wanakokwenda nowdays hiyo sahau dili likijamba linanuka tu kama kawaida, ile task force ya madawa kuna kila aina ya mtu ukitaka mabishoo wanaosukuma ma vogue wamo, walivhofanya ni kwenda sambasamba na wazungu, wajinga ukiruka south nao wapo na hadi apartment unayofikia wapo, tena hadi mzigo wanakuagiza wananunua kifuatacho utajuta na ndio maana askari wa kawaida kitengoni wote huwaoni au ushawaona kile kitengo wamevaa magwanda ya polisi?
 
Ishu ni nini? Ishu ni huyo mtu mzito yupo kwenye circle iliyopoo!???

Angalia meno ya tembo walivodakwa kama kuku ndio utajua maana walianza kubanwa wawindaji wenye vitalu vya uwindaji anzia wadogo wa rostam, akina kinana, hadi waarabu koko wa kakonko wale akina jamal, kigwangala akatenga bajeti ya kununua, ikawa ukiingia na mzigo toka mozambique tayari wana wewe, inatangazwa bei mnajua ni wanunuzi then mnadakwa kizembe halafu mkidakwa unatafutwa mtandao wote hadi mtajane leo hii meno ya tembo ni kaa la moto hayagusiki.
 
Tatizo kubwa ni huyu Kingpin wao na ukurupukaji wake. Hana mipango

Hakuna cha kingpin wala nini, uliona wachungaji wote suspect wanaunga mkono juhudi unadhani utani kwenye drugs na magendo Magu kafanya vyema sana tena kuliko kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…