mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ah ok ndy zile nguo ukifua tuKawaida tu kama maduka mengine.. ila ndio varieties kibao, anapokukamata ni kwenye bei chee...duka la Arusha kuna mpaka box la kusagula t-shirts...elfu 9...watu wanashona hatari, maanake ukitoka nje tu kwenye maduka mengine utauziwa 15 hadi 20...upo dukani lakini unaeza jihisi upo mitumbani tandika
Imenyweaaa
Ova