Alphonce Kagezi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 338
- 163
Ndy maana huyo mbasha akaamua kumfanya chimbo,,
nimeshangaa sana.ni hatari sana kumuhusisha mwanamke kwenye hizo dealsNdy maana huyo mbasha akaamua kumfanya chimbo,,
Dola 14000$ chumbani kwa allu..
Na madawa juu..
Yote kumwonyesha yeye jamaa ana pesa.
Mtoto atulie.
Kumbe ni kosa kubwa sana.
Tusiwape wanawake siri zetu.
Huwezijuwa pengine huyo allu alibwabwaja maneno sehem.
Wanaume washamba na malimbukeni wanaona ufahari kujitapa kwa mwanamke juu ya biashara zao za haramu.nimeshangaa sana.ni hatari sana kumuhusisha mwanamke kwenye hizo deals
Yupo marekani, ,siku yeyote utamuona mjini.hivi shkuba kashatoka?
alikuwa balaa yuleYupo marekani, ,siku yeyote utamuona mjini.
aliingia chaka.alishindwa kuishi nao kwa akiliWanaume washamba na malimbukeni wanaona ufahari kujitapa kwa mwanamke juu ya biashara zao za haramu.
Nina 98% huyo allu au Fatma walibwabwaja sehem.
Huyo jamaa alikuwa anawatumia kama sehemu ya kuhifadhia mambo yake.
Hakikaaliingia chaka.alishindwa kuishi nao kwa akili
Tena ni bora kafungwa kule.alikuwa balaa yule
Kuna watu washazoea ushindani tu, anataka kuweka kauzibe 😀😀. Nishapata connection ya wema.. ipo siku nitaenda nae asee kumuona mchumba Alu 😉😉Mkuu vipi mbona unamuulizia ulizia sana. Huyu ashawahiwa na Holy Man 😂😂😂
alikamatiwa airport kizembe sana. rasta tiko tiko yupo mtaani kamaliza kifungo chakeTena ni bora kafungwa kule.
Anakaribia kumaliza.
Angekuwa hapa hata kesi ingekuwa bado kusomwa.
Bongo nyoso.
Mkuu sio mzembe..alikamatiwa airport kizembe sana. rasta tiko tiko yupo mtaani kamaliza kifungo chake
Atulie, show off zitamponza, sidhani kama ana maelezo mazuri ya kutoa na vitabu yake vya mahesabu vimenyooka kama ataulizwa na TRA amefikaje fikaje hapo alipo, usichukulie poa kutoa maelezo ya chanzo cha pesa iliyoingiza kwenye biashara, si rahisi hata kidogo kama uliipata tuu, yani dili moja paap umefungua dukaHuyu walichelewa wakati wanashtuka ye tiari alishamaliza mzigo pesa akazitakatisha Kwenye maduka hivyo yupo safe kwa sasa
Emba Botion Kwenye Motion [emoji16]Hivi Damon dash Mtu mrefu hawajamdaka? Na mama yake emba vipi?muda sijatimba kino
Petit sijui kwanini huwa haishi mkuuHii chain wamengolewa wengi aise [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Huyo anatumwa tu...hana chochote ajuacho.Petit sijui kwanini huwa haishi mkuu