Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tushetani tudogo tukikua huwa yanakuwa mashetani makubwa sana.Sijahusianisha na shauri tajwa.Kama UVCCM tu.Unategemea watakuwaje mbeleni?Hapa tumedanganywa kwenye suala zima la umri. Bora hata ingekuwa 40 kasoro, au 40+
Kuna mtu alimchapa vibao maiti sababu binti aliacha shule na kwenda kudanga huko Dar hadi umauti umemkuta.Waliojaribu kumuua Lissu tutaharibu makaburi yao kama wamekufa.
Usidharau umri.Tujiandae kiakili tu.Strike the iron while hot!Hapa tumedanganywa kwenye suala zima la umri. Bora hata ingekuwa 40 kasoro, au 40+
Umeanza kingreza chako etiUsidharau umri.Tujiandae kiakili tu.Strike the iron while hot!
Jinai ndiyo ukisikia za Mwizi ni arobain, ndiyo hiyo!!Jinai haiozagi
Ova
Mambwembwe tu.Siwezi kulipa ada kubwa ya tuisheni kwa "Ras Layan" halafu nisijidai kidogo.Afutaloo plaktis meks pafekto!Umeanza kingreza chako eti
Wakazi wa mitaa ya Machinjioni na Makaburini! Waathirika wa majina ya mitaa.Watu watatu wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kuua mwanamke Mkoani Mtwara miaka 20 iliyopita.
Watuhumiwa hao ni wakazi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Nora Hamisi.
Nora aliyekuwa Mkazi wa Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, aliuawa na mwili wake kutupwa katika Mtaa wa Machinjioni katika Kata ya Mkuti.
Watuhumniwa hao walifikishwa kortini mwishoni mwa wiki mbele ya Hakimu wa Wilaya ya Masasi, Batista Kashusha na kusomewa mashtaka ya mauaji wanayodaiwa kuyafanya miaka 20 iliyopita.
Mwendesha Mashtaka wa Polisi Insepta Jovina alidai kuwa watuhumiwa hao wanakabiliwa na kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2002 mbele ya Mahakama hiyo.
Aliwataja watuhumiwa hao ni Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
Inspekta Jovina alidai kuwa watuhumiwa hao walimuua Nora kisha kuuchukua mwili wake na kuutupa katika Mtaa wa Machinjioni kisha kutoweka.
Alidai waliutupa mwili eneo hilo kwa lengo la kupoteza ushahidi, lakini baada ya uchunguzi wa Jeshi la Polisi walikamatwa. Watuhumiwa hawakutakiwa kuzungumza lolote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji.
Kwa mujibu wa sheria, Mahakama yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji ni Mahakama Kuu.
Wote walirejeshwa mahabusu na kesi hiyo itatajwa tena Aprili 24, 2022.
Source: Nipashe
Unajitahidi unamzidi Shishi aliyesoma British nn sijui pale.Mambwembwe tu.Siwezi kulipa ada kubwa ya tuisheni kwa "Ras Layan" halafu nisijidai kidogo.Afutaloo plaktis meks pafekto!
Nimejiuliza swali ilo ilo. Kwamba tukirudisha nyuma 20 years, how was that possible? Kwamba watoto walimbeba marehemu na kwenda kumtupa, watoto waliweza kuitunza Siri?Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Huo ndiyo mtaji wao wa kushinda kesi hiyo.Hata mimi imenishangaza watuhumiwa walikuwa watoto sana aisee.
Hapa kuna visasi.. Yaani mtoto wa miaka 10 auwe..!! SIyo jambo la kawaidaKosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Amesema umri ulivyokua wakati wa tukio.Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Mbona kwenye habari wamesema kabisa umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio.................Kosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
Watuhumiwa wakati wa tukio walikuwa na hiyo miaka 2002 ,kwa hiyo sasa wapo na miaka hamsini plus nilivyoelewa mimi.Aliwataja watuhumiwa hao na umri wao ulivyokuwa wakati wa tukio ni; Rajabu Songo (34), kazi wa mtaa wa Machinjioni, Kata ya Mkuti Wilayani Masasi, Stanley Mtweve (32), Mkazi wa Mtaa wa Makaburini Kata ya Mkuti Wilayani Masasi na Yusuph Pahala (30), mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Kata ya Mkomaindo wilayani Masasi.
mbona maelezo yanaeleza vizuri,mwandisha amesema umri wa watuhimiwa wakati wa tukioKosa miaka 20 iliyopita, watumiwa miaka 30, 32 na 34; maana yake walikuwa miaka 10,12 na 14. Okay
... umri wa aliyeuwawa ni irrelevant; umri muhimu ni wa muuwaji. OK?Waliyemuua naye alikua na umri gani hiyo mwaka 2002😳
... huyo ni mtu aliyesoma hiyo habari mwenyewe yet hakuelewa; sijui akienda kumsimulia mwingine na huyo mwingine naye akaenda kusimulia; after 5 recipients haitakuwa hiyo habari tena; itakuwa habari "mpya" kabisa!mbona maelezo yanaeleza vizuri,mwandisha umri wa watuhimiwa wakati wa tukio