Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

Kwa hiyo rais hatakiwi kudhihakiwa ila Muhammad ni sawa kumdhihaki.
Jaribu kupunguza upumbavu kwenye kicha chako.
Mbona unanilisha maneno wapi nimesema hivyo? Ulivyoingiza habari za Rais ikabidi nihoji maana ni kama umewaweka level moja. Na hiyo comment yangu ilikuwa ni kuonyesha jinsi gani Mohammad ana thamani kuliko huyo Rais uliemtaja.

Kosa langu likwapi?
 
Mpumbavu ni mtu anayefanya jambo la kijinga kwa kurudiarudia /yaani hajifunzi tu.
Hivyo hizi dini ni za kipumbavu sababu kuna mambo mengi yakipumbavu yanafanywa humo kwa kurudiwarudiwa... Umeelewa?
Ww usiye fuata hizo dini za kupumbavu umesha fanya kitu gani cha akili ndani ya nchi yako ili kujitofautisha na hao unao waita wapumbavu?
 
Hao wanaowahukumu wenzao wa utakatifu kiasi gani?.

Hii Dunia tunadhulumiana bure tu kwa kutumia imani...nina uhakika huyo Mungu wala hatumjui kabisa.
 
We mtu mbona una ghubu sana umekula kweli Leo? Unabwabwaja tu bila kusoma uelewe. Nimesema Mohammad ana thamani kuliko Rais uliemtaja.
Pambav zako
Mkuu samahani nimekosea reply nilikuwa na ijibu avatar ya kijana wa jana bahati mbaya nikawa nime kureply ww.
Samahani kama nime kuudhi mkuu.
 
Siku moja rafiki yangu muislamu katika story akasema mimi mtu akimtukana Mtume siwezi ona tabu hata kumuua. Nikamuuliza swali moja, hivi Mtume angekuwa hai na akatukanwa, angefanya kama wewe?
Alijibuje?
 
Mpumbavu ni mtu anayefanya jambo la kijinga kwa kurudiarudia /yaani hajifunzi tu.
Hivyo hizi dini ni za kipumbavu sababu kuna mambo mengi yakipumbavu yanafanywa humo kwa kurudiwarudiwa... Umeelewa?
Hujaonyesha upumbavu unao usema, sababu nitakuuliza jambo la kijinga wewe unalipimaje ? Kwa akili zako cha kichwa mchunga au kwa matamanio yako ? Yaani marejeo yako ya kujua ujinga ni yapi?

Pili, hii si maana ya mpumbavu uliyo itoa, inabidi utuambie kwanini umetuwekea maana isiyo ya mpumbavu huku ukakusudia ya kuwa ni mpumbavu?

Tatu, hujaainisha ujinga ni upi na usawa wa mambo hapo ni upi?

Swali langu bado hujajibu. Nimeelewa ulichokiandika ndiyo maana nimekukosoa.
 
Mambo mengne tunge kuwa tunaulizwa kama upo tayali kwenda duniani au aupo tayali maana tuna lazimishana...utazani tuli waomba watulete duniani.
 
Back
Top Bottom