Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo.

View attachment 1671870
Naijua hiyo Nchi vizuri.Nilipopata nafasi yabkutembelea huko jambo moja nililisisitizwa ni kutojaribu kufanya jambo lolote litakaloudhalilisha uislamu.kwa sababu niliambiwa sitaweza rudi kwetu.Ukiigusa dini unakuwa umefanya kosa kubwa sana linalokupas kifo chap.Ijapokuwa sometimes kuna kuchomekewa na ukajikuta unahukumiwa kwa kuikashifu Islam

Unaweza ku-google "Asia Bibi" uweze kujua zaidi hayo mambo ya kubambikiwa kesi za kunyongwa huko pakistani
 
Kwa hiyo kwa akili zako za kijinga ulizo zijaza kichwani mwako una muona rais ana hadhi zaidi ya mtume ?hivi kicha chako kiko sawa kweli?
Hivi unajua ni marais wangapi dunia hii wanafuata na kumuheshimu huyo mtume unaye mdharau?

Je unajua ni wafarume wangapi dunia hii wana muheshimu na kumfuata huyo mtu unaye mdharau?

Je una jua ni watu wangapi wana muheshimu na kumtukuza huyo mtu unaye mdharau?

Yaani mtu anaye fuatwa na kuheshimiwa na watu zaidi ya billion 2 dunia zima wakiwemo marais na wafarume una mlinganisha raisi anaye ongoza kijitaifa chenye watu million 50? alafu unajiona una akili kichwani?.

Kwa hiyo tuseme ww kwako magufuri ana hadhi kumzidi yesu?
Kila nikisoma hii posti yako nachefukwa tuu, we kabilagani?????

Kila sehemu unapo taja neno WAFALME unaandika WAFARUME, sijui unawazanini.

Alafu huyo unaemjibu somavizuri post yake hajamlinganisha Mtume na Rais yoyote.
 
Kila nikisoma hii posti yako nachefukwa tuu, we kabilagani?????

Kila sehemu unapo taja neno WAFALME unaandika WAFARUME, sijui unawazanini.

Alafu huyo unaemjibu somavizuri post yake hajamlinganisha Mtume na Rais yoyote.
Lakini si umeshaelewa nilicho kimaanisha?
Alafu nilikuwa simjibu yeye nilikuwa naijibu ID ya kijana wa jana sema kwenye kureply nikajikuta nimekosea, na nimesha muomba radhi kwa hilo.
 
Unatoa uhai wa mtu kisa muhammad du! Dunia hii maajabu hayaishi,lakini tusishangar sana hawa watu kumwaga damu ya mtu ni advantage, maana hugo mwenyewe aliyekashifiwa alikuwa ni mmwagaji Mzuri wa damu za wengine waliokuwa hawakubaliani naye.
 
Back
Top Bottom