Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Wewe sio wa kupanga hoja na mimi sababu akili yako nimeshaisomaHujaonyesha upumbavu unao usema, sababu nitakuuliza jambo la kijinga wewe unalipimaje ? Kwa akili zako cha kichwa mchunga au kwa matamanio yako ? Yaani marejeo yako ya kujua ujinga ni yapi ?
Pili, hii si maana ya mpumbavu uliyo itoa, inabidi utuambie kwanini umetuwekea maana isiyo ya mpumbavu huku ukakusudia ya kuwa ni mpumbavu ?
Tatu, hujaainisha ujinga ni upi na usawa wa mambo hapo ni upi ?
Swali langu bado hujajibu. Nimeelewa ulichokiandika ndiyo maana nimekukosoa.