Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
Kwahiyo ni sawa watu kunyongwa kisa tu kumkosoa marehemu? Acha mambo zako na wewe!
Ni yesu pekee anaeweza kusamehe.Huyo Muhammad/Yesu mwenyewe laiti angalikuwapo mahali hapo angewasamehe kwa upendo na kuwafundisha njia sahihi.Hizi dini za hovyo hovyo zinazoamini katika kujitoa muhanga zinapaswa zifutiliwe mbali.
Kwwhiyo ndio unataka kumlinganisha rais wa nchi na dini zinazofubaza akili za watu? Hebu kuwa serious kidogoTusiende mbali
Basi mkashifu Raisi wetu hadharani tuone kama utafika wiki uraiani.
Heshimu imani za watu
Mbona sehemu za jeshi zimeandikwa usipite hapa na hupiti. Pita basi tuone yatayo kukuta
[emoji1787][emoji1787]Hilo li dini lao kama ndo lakwendea peponi basii mm ntakua wa kwanza kwenda jehanamu
Yaani unamfananisha Rais na mtume Mohammad, you are not serious.Tusiende mbali
Basi mkashifu Raisi wetu hadharani tuone kama utafika wiki uraiani..
Kwa hiyo rais hatakiwi kudhihakiwa ila Muhammad ni sawa kumdhihaki.Yaani unamfananisha Rais na mtume Mohammad, you are not serious.
Mbona unanilisha maneno wapi nimesema hivyo? Ulivyoingiza habari za Rais ikabidi nihoji maana ni kama umewaweka level moja. Na hiyo comment yangu ilikuwa ni kuonyesha jinsi gani Mohammad ana thamani kuliko huyo Rais uliemtaja.Kwa hiyo rais hatakiwi kudhihakiwa ila Muhammad ni sawa kumdhihaki.
Jaribu kupunguza upumbavu kwenye kicha chako.
Ww usiye fuata hizo dini za kupumbavu umesha fanya kitu gani cha akili ndani ya nchi yako ili kujitofautisha na hao unao waita wapumbavu?Mpumbavu ni mtu anayefanya jambo la kijinga kwa kurudiarudia /yaani hajifunzi tu.
Hivyo hizi dini ni za kipumbavu sababu kuna mambo mengi yakipumbavu yanafanywa humo kwa kurudiwarudiwa... Umeelewa?
Si sawa kumdhihaki rais ila ni sahihi kumdhihaki mtume?Kwwhiyo ndio unataka kumlinganisha rais wa nchi na dini zinazofubaza akili za watu? Hebu kuwa serious kidogo
Mkuu samahani nimekosea reply nilikuwa na ijibu avatar ya kijana wa jana bahati mbaya nikawa nime kureply ww.We mtu mbona una ghubu sana umekula kweli Leo? Unabwabwaja tu bila kusoma uelewe. Nimesema Mohammad ana thamani kuliko Rais uliemtaja.
Pambav zako
It's okayMkuu samahani nimekosea reply nilikuwa na ijibu avatar ya kijana wa jana bahati mbaya nikawa nime kureply ww.
Samahani kama nime kuudhi mkuu.
Alijibuje?Siku moja rafiki yangu muislamu katika story akasema mimi mtu akimtukana Mtume siwezi ona tabu hata kumuua. Nikamuuliza swali moja, hivi Mtume angekuwa hai na akatukanwa, angefanya kama wewe?
Ndio kweli izi dini za kipumbavu Lakin usiingilie upumbavu wa watu wengine fanya mambo yako bila kuwabugudh watuHizi dini za kipumbavu sana!
Wewe sio riziki kabisa inaonekana,Kwahiyo ni sawa watu kunyongwa kisa tu kumkosoa marehemu? Acha mambo zako na wewe!
Hujaonyesha upumbavu unao usema, sababu nitakuuliza jambo la kijinga wewe unalipimaje ? Kwa akili zako cha kichwa mchunga au kwa matamanio yako ? Yaani marejeo yako ya kujua ujinga ni yapi?Mpumbavu ni mtu anayefanya jambo la kijinga kwa kurudiarudia /yaani hajifunzi tu.
Hivyo hizi dini ni za kipumbavu sababu kuna mambo mengi yakipumbavu yanafanywa humo kwa kurudiwarudiwa... Umeelewa?
Dini yoyote ni tatizo.