Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

Wewe sio wa kupanga hoja na mimi sababu akili yako nimeshaisoma
 
Ndio kweli izi dini za kipumbavu Lakin usiingilie upumbavu wa watu wengine fanya mambo yako bila kuwabugudh watu
Upumbavu hutakiwi kwenye jamii inayojitambua! Tutaupiga vita upumbavu hadi ubaki kuwa historia
 
Of Course Mtume asingefanya hayo mambo....

Mtu mmoja aliongea vizuri, "Don't be a Christian, Be Christlike"

Watu badala ya kutenda kama viongozi wa dini zao wangetenda, wanadhani kuwa wakali kwa wanaokashifu dini zao ndio muhimu zaidi.
Inasikitisha sana
 
Ndio maana nasema huu upumbavu unatakiwa kupigwa vita na kila mwenye akili timamu!
Hakuna nchi isio ongozwa na Sheria mkuu Pakistan asilimia 90 ni waislam je unajua amewakosea wapakistan wangap na hao walokosea ni watatu tuu lazima tuheshimu dini za watu hiyo sio siasa unagusa mioyo ya watu
 
Unapoita dini ni upumbavu ukumbuke kuna watu wanaiona dini ni kitu cha thamani kwao. Kuanza kudhihaki waumini wa dini ni kuingilia haki na uhuru binafsi wa watu kuamini. Haikubaliki!!!

Ukiona dini flani ni upumbavu basi hilo liishie kichwani kwako wala usitake watu wajue. Achana na hao watu wafanye vile wanaamini.
 
Sioni kama ni sahihi kumpambania MUNGU. Yani nisababishe kifo kwaajili yake halafu kuuwa ni dhambi..... Kwa nini asimuondoe mapema kabla hajatukana.... Au mtukanaji asiadhibiwe.MAWAZO YA MVINYO
 
Eeh wamepasuka kwa haki kabisa, amna namna katiba na iheshimiwe
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ katiba na sheria ziheshimiwe au warudi tena mjengoni kubadilisha ila kwa sasa hamna namna
 
Eeh wamepasuka kwa haki kabisa, amna namna katiba na iheshimiwe
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ katiba na sheria ziheshimiwe au warudi tena mjengoni kubadilisha ila kwa sasa hamna namna
 
Ila watu wa Dini ndio wanaoongoza kuwaita watu wasio na dini majina mabaya, wapumvavu, waovu, makafiri, n.k
 
Ila watu wa Dini ndio wanaoongoza kuwaita watu wasio na dini majina mabaya, wapumvavu, waovu, makafiri, n.k
Hapo ndio makosa yalipo...Mi niko neutral sijajikita katika dini ila mtu akileta ngebe naruka nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…