Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo.

View attachment 1671870
Naijua hiyo Nchi vizuri.Nilipopata nafasi yabkutembelea huko jambo moja nililisisitizwa ni kutojaribu kufanya jambo lolote litakaloudhalilisha uislamu.kwa sababu niliambiwa sitaweza rudi kwetu.Ukiigusa dini unakuwa umefanya kosa kubwa sana linalokupas kifo chap.Ijapokuwa sometimes kuna kuchomekewa na ukajikuta unahukumiwa kwa kuikashifu Islam

Unaweza ku-google "Asia Bibi" uweze kujua zaidi hayo mambo ya kubambikiwa kesi za kunyongwa huko pakistani
 
Kila nikisoma hii posti yako nachefukwa tuu, we kabilagani?????

Kila sehemu unapo taja neno WAFALME unaandika WAFARUME, sijui unawazanini.

Alafu huyo unaemjibu somavizuri post yake hajamlinganisha Mtume na Rais yoyote.
 
Kila nikisoma hii posti yako nachefukwa tuu, we kabilagani?????

Kila sehemu unapo taja neno WAFALME unaandika WAFARUME, sijui unawazanini.

Alafu huyo unaemjibu somavizuri post yake hajamlinganisha Mtume na Rais yoyote.
Lakini si umeshaelewa nilicho kimaanisha?
Alafu nilikuwa simjibu yeye nilikuwa naijibu ID ya kijana wa jana sema kwenye kureply nikajikuta nimekosea, na nimesha muomba radhi kwa hilo.
 
Unatoa uhai wa mtu kisa muhammad du! Dunia hii maajabu hayaishi,lakini tusishangar sana hawa watu kumwaga damu ya mtu ni advantage, maana hugo mwenyewe aliyekashifiwa alikuwa ni mmwagaji Mzuri wa damu za wengine waliokuwa hawakubaliani naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ