Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Dar ndio kila kitu hata ukiandika kwenye CV kuwa umezaliwa Dar ni added advantage compared to mtu aliezaliwa Ushirombo. Sio kila mtu anapata chance adhimu ya kuzaliwa Dar only kwa wachache na wenye bahati.
Na enzi zetu tuna-apply UDSM, ukiandika tu unatokea Dar, hupati chumba. Ila ukiandika unatoka Litapwasi huko mbona HALL 2/5 hii hapa unaipata fasta..!!
 
Dabaga huko kulikuwa na hayo maghorofa? Watu wa Dar walikuwa wanalipwa mpaka kuingiza magari katikati ya mji kutokea "Ubungo mataa" maana hata "Traffic Lights" mikoani hazikuwepo.

Zama hizo wa mikoani walikuwa wa mikoani kweli kweli!
Uoga wenu tu.Hadi mkaanza kuita maghorofa "mabugando"?
 
Born here here,mafala sana hao
 
Huoni jamaa kaleta uzi, ujue hilo la kutozaliwa dar linamuumiza.

Au na wewe hujazaliwa dar? Au hata kufika hujawahi ?

Pole sana.
Jifanye unatokea Zanzibar kwa Boat au unatua na ndege tokea Zurich ndo utajua hakuna kitu hapo, hicho ni Kijiji kilichochangamka. Na Hawa mboga mboga party nao ni tatizo wanaongoza mazombi na wao wanafikiri wajanja liangalie li Makala liuso utafikiri zimwi Hatuna watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…