Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Wanaonijua watakucheka bwashee 😳🤣🤣Jumbe hii ni zamu yenu Wakojani. Mnakula kuku kwa mrija.
Ndugu yangu.Haiwezekani kundi moja tu....kundi moja tu la wanasiasa....tena CHAMA KIMOJA kikawalazimisha watanzania matakwa yao....hilo haliwezekani hata.....
FYI : Hivi hukuiona APOSTROPHE juu ya hiyo "inshu" ama ndio kuchanganyikiwa kwa kuona watanzania walio wengi hawakubali muwaingize katika maandamano ya machafuko?!!!!🤣🤣🤣
Ni kweli ina utulivu, lakini haina amani.Nchi imetulia mno.....
Siasa zenu za kutaka machafuko kamwe hazitowasaidia......
Siku zote kweli itakuweka huru. Jaji alipofushwa na rushwa ya cheoUmetishwa au umekumbushwa ukweli juu ya kuheshimu muhimili huo wa dola ?!!!
Spika huwa anawaita watu bungeni kujieleza na huwa hawatishwi....
Malengo ya CHAMA chenu hayaendani vyema na MISINGI IMARA YA TAIFA HILI.Ndugu yangu
ukishamaliza kujichekesha, utaona kilicho wazi kabisa ni kuwa, mnaliogopa hilo kundi na mnakiogopa sana hicho CHAMA...
Unaunganisha dots kichwani mwako....si lazima iwe ni SAHIHI NA UKWELI......Siku zote kweli itakuweka huru. Jaji alipofushwa na rushwa ya cheo
Siku zote fujo wanaanzisha CCM kwa kulitumia jeshi la Polisi. Hakuna hata siku moja wapinzani wamefanya fujo. Ila mjue hao Polisi siyo robot kwamba mtawakunja mtakavyo siku zote.Nchi imetulia mno.....
Siasa zenu za kutaka machafuko kamwe hazitowasaidia......
SA ApartheidLeo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa.
Hivi unajua hata matukio ya viashiria vya fujo huwa mnavianzisha ninyi?!!Siku zote fujo wanaanzisha CCM kwa kulitumia jeshi la Polisi. Hakuna hata siku moja wapinzani wamefanya fujo. Ila mjue hao Polisi siyo robot kwamba mtawakunja mtakavyo siku zote.
Eeeh bhana eeeh [emoji102][emoji102][emoji102]Nyoko linyooo veve,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wewe unajadili nadharia mnazokaririshwa huko Lumumba. Haya endelea na ukasuku wako.Hivi unajua hata matukio ya viashiria vya fujo huwa mnavianzisha ninyi?!!
Mathalani ni CCM ndiyo iliyoanzisha UAMSHO?...
Nilichokiandika umeamua kukiita nadharia....haya endelea na kuwa "msukure".....Kumbe wewe unajadili nadharia mnazokaririshwa huko Lumumba. Haya endelea na ukasuku wako.
Andaa hicho kijambio muda c mrefuMpaka mtazeeka na wajukuu zenu watazeeka na hiyo siku haitafika!
Uzuri wa Id za Jf huyu Jumbe ccm ikishasambaratika atabadili idNdugu yangu
ukishamaliza kujichekesha, utaona kilicho wazi kabisa ni kuwa, mnaliogopa hilo kundi na mnakiogopa sana hicho CHAMA.
Ndio maana mwategemea mabavu na HASA kuvunia katiba ya nchi hata hii iliyopo iliyosheheni mapungufu
Wamachinga mliyowalaghai kwa vitambulisho mbuzi, taratibu watakuja waumbua.
Kwa tamaa zenu, yinyi ndio mliyowaaminisha kuwa wana haki ya kufanya biashara popote vyovyote bila ya kubugudhia. Kulikoni?
Hebu waacheni wananchi WAPIGE kura na waacheni WAO wachague ndio utaona. AMEN
Wewe utakuwa ni shoga wa kizanzibariWANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU
Ndoto Lissu aliwaita wala hamkutoka kunguru!Wala haiko mbali
Jina Iboya! Sasa wewe si boya kabisa. Busara ya kutumia masaburi.WANAENDA KULETA FUJO GEREZANI WAHUNI HAO LAZIMA WAFUKUZWE TU HAWAENDI KWA ADABU NA HAKUNA MAELEKEZO KUTOKA JUU HIYO MNATUNGA WAMEONA WANAENDA KWA VURUGU