Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo serious kweli Leejay49Hauko serious wewe😂😂😂
Pole cuteSijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,
Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,.
First of all mie ni mtu ambaye siwezagi kukaa na kitu rohoni kwakweli,. Ila sio muongeaji kwa watu wangu wanaonizunguka, so JamiiForums ndio eneo ambalo naweza kutema nyongo zangu zooote,. Na huwa sijali hata kama watu wakisema najiexpose, ( As long as ni mimi na sivunji sheria yeyote ile huwa najionaga niko tu normal. )
Jana nlipost ule uzi wangu wa kutapeliwa just nipate tu faraja maana huku nje hata kumsimulia mtu nlikua naona aibu na kujiona mjinga, ila nyie watu mmenishangaza sanaaa, Mmeenda Beyond na zile faraja nlizopewa, Beyond kabisa na yale maneno mliyoandika "pole Leejay, pole mammy, pole cute and everything,.. masai dada nadhani alisema niweke Account number nikawaza nikasema em ngoja nijaribu nione,. Ila haikukaa sana nikaifuta ile Comment nikaona kama najichoresha ( Ila sijui kuna watu waliicopy😊). Kuna wawili watatu nliona wametuma chochote kitu akiwemo Manyanza,,. Na wengine hata siwajui I'd zao ni ilikuwa tu kimyakimya na hawakusema ni kina nani,..
Kisimu changu kuna mda kilizima chaji jana sikuwa nimeshughulika nacho tena, mpaka ile asubuhi nimechaji nimekiwasha Naona notofications za CRDB Bank ni nyingi mpaka kinaandika Sms Full, Nachungulia nione kiukweli hadi nikatamani nipige makelele 😥🤭,. Nyie watu Mungu awabariki sana aisee.
Nimeshindwa namna nzuri ya kuwashukuru wote ni ipi maana sina hata namba zenu za simu na Pm nilifunga lakini, sidhani kama humu kuna watu wanafaham majina yenu halisi ila tu nyie watu mpo kwenye maombi yangu kuanzia sasa.
Manyanza nimekutag kwasabu ni wewe pekeyako ulinithibitishia na niliona jina lako,..
Ila kuna hawa watu siwajui ni kina nani, japo mmefanya sirini mie kuwashukuru sirini pekeyake nimeshindwa, i Just want you to know that " Mko na kiti chenu peponi aisee "
"NILITAMANI SANA NIZIFAHAMU ID ZENU NIMFATE MMOJA MMOJA KUWASHUKURU LAKINI NDIO HIVYO TENA NIMESHINDWA KUBAINI" ..
Joel Luwagila
Jackson Lumato
Filbert Mwai
Judith Gideon
Felister Paul
Geofrey Wandiba
Chrispin Hyera
Lawrance Mwasota
RAmadhani Ally
Abdul Abdul
Richard Ngilangwa
Joyce sebastian
Fausta Nyirenda
Maurid Kusahu
Jeska Lwanda
Winifrida Mwandawa
Mariam John
Maida ( wakala )
Tiffani (Wakala)
Julieth Gingo
Amina Yassin
Antpas ( wakala )
Patricia Mwala
Newton Masukuma
Samson Sato
Sophia Said
Yusuph Mrema
Violeth Njau.
Nimeshindwa kuweka screenshoots kwasabu notifications zimeingia kwenye kisimu kidogo, kupiga picha muamala mojamoja nisingeweza,,. ( Nimefanya hivyo nikiamini kuwa humu hakuna anayefahamu majina yenu halisi, na nitafuta baada ya mda ).
Niseme tu Imepitiliza ile nliyotapeliwa🙌🙌🙏, Mbarikiwe sana aisee And my Pm will be open, You just hit and say ni Mimi au vyovyote vile ili siku ikitokea watu wanakusumbua hapa nideal nao wasikuchoshe Tajiri wangu😂😂
Ni hayo tu,. Thanks
👏🏻👏🏻👏🏻Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,

Ana heri mtu yule akumbukaye kushukuru , Barikiwa mkuu!Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,

Hilo nimeprove mkuu,ujuaji siyo kabisaNakubali humu ni zaidi ya familia ujue namna ya kuishi na watu
Kupunguza kiburi, kujisifia hovyo, mara hutaki kuwa chini......
Kuwa tuu humble utatengsneza familia kubwa tuu yenye msaada kwa wote
Futa Tu hayo majina mkuu, ilikua kimyakimya iendelee hivo
📌📌📌📌NakaziaMungu hufanya njia pasipo na njia...
Watu wa jf ni wema sana...na wabarikiwe sana kwa kweli
Jus kuwa humble na kuishi kwenye boundary mkuuHilo nimeprove mkuu,ujuaji siyo kabisa
Futa majina utawachonganisha na wengine sasa...make mwingine alinyimwa ukapewa wewe.Yeah nitafuta mkuu,.
Barikiwa sana aisee🙏
HapaJF ,USICHUKULIE VITU PERSONAL,UKIJIELEZA VIZURI,HUMU 90% YA WADAU NI GIVING HEART, HIVYO WAPO WATAKAO KUBEZA LAKINI ISIWE SERIOUS NA NDIO HAO HAO WATAKUGUSA,NINAUHAKIKA WAPO HAPO WALIKUPA ZA USO NA WAMEGUSA MAISHA YAKO,JF ITS WHERE WE DARE TO TALK OPENLYSijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,