Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwie radhi Mkuu 😃Mkuu kwahiyo wale wote ambao wewe hujawataja hapa,wao sio watu wema?
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutuletea watu wema kuishi nasi.Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,
Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,.
First of all mie ni mtu ambaye siwezagi kukaa na kitu rohoni kwakweli,. Ila sio muongeaji kwa watu wangu wanaonizunguka, so JamiiForums ndio eneo ambalo naweza kutema nyongo zangu zooote,. Na huwa sijali hata kama watu wakisema najiexpose, ( As long as ni mimi na sivunji sheria yeyote ile huwa najionaga niko tu normal. )
Jana nlipost ule uzi wangu wa kutapeliwa just nipate tu faraja maana huku nje hata kumsimulia mtu nlikua naona aibu na kujiona mjinga, ila nyie watu mmenishangaza sanaaa, Mmeenda Beyond na zile faraja nlizopewa, Beyond kabisa na yale maneno mliyoandika "pole Leejay, pole mammy, pole cute and everything,.. masai dada nadhani alisema niweke Account number nikawaza nikasema em ngoja nijaribu nione,. Ila haikukaa sana nikaifuta ile Comment nikaona kama najichoresha ( Ila sijui kuna watu waliicopy😊). Kuna wawili watatu nliona wametuma chochote kitu akiwemo Manyanza,,. Na wengine hata siwajui I'd zao ni ilikuwa tu kimyakimya na hawakusema ni kina nani,..
Kisimu changu kuna mda kilizima chaji jana sikuwa nimeshughulika nacho tena, mpaka ile asubuhi nimechaji nimekiwasha Naona notofications za CRDB Bank ni nyingi mpaka kinaandika Sms Full, Nachungulia nione kiukweli hadi nikatamani nipige makelele 😥🤭,. Nyie watu Mungu awabariki sana aisee.
Nimeshindwa namna nzuri ya kuwashukuru wote ni ipi maana sina hata namba zenu za simu na Pm nilifunga lakini, sidhani kama humu kuna watu wanafaham majina yenu halisi ila tu nyie watu mpo kwenye maombi yangu kuanzia sasa.
Manyanza nimekutag kwasabu ni wewe pekeyako ulinithibitishia na niliona jina lako,..
Ila kuna hawa watu siwajui ni kina nani, japo mmefanya sirini mie kuwashukuru sirini pekeyake nimeshindwa, i Just want you to know that " Mko na kiti chenu peponi aisee "
"NILITAMANI SANA NIZIFAHAMU ID ZENU NIMFATE MMOJA MMOJA KUWASHUKURU LAKINI NDIO HIVYO TENA NIMESHINDWA KUBAINI" ..
Nimeshindwa kuweka screenshoots kwasabu notifications zimeingia kwenye kisimu kidogo, kupiga picha muamala mojamoja nisingeweza,,. ( Nimefanya hivyo nikiamini kuwa humu hakuna anayefahamu majina yenu halisi, na nitafuta baada ya mda ).
Niseme tu Imepitiliza ile nliyotapeliwa🙌🙌🙏, Mbarikiwe sana aisee And my Pm will be open, You just hit and say ni Mimi au vyovyote vile ili siku ikitokea watu wanakusumbua hapa nideal nao wasikuchoshe Tajiri wangu😂😂
Ni hayo tu,. Thanks
Thanks ciccy,. masai dadaPole cute
Dah sikuona hata msg ya account nilikua tayari miangaikon baadae nikarudi Na sikuona naomba nipe Na Mimi nichote Tu Baraka
Maana nilikufiria sana sana Jana mpaka nilirudi kwenye Ile thread usiku
Wakati member flani alikuja humu akasema napitia magumu sana naomba mnisaidie japo kimawazo niliwaambia watu
MTU anavyokuja kufunguka humu Ni uchungu umezidi
Yule member alikuja kujiua
Naomba tuifanye hii platform kuwa faraja
Nitumie DM acc
Mimi mpaka leo sijajua kama ni mwema ama mbaya maana naishi tu niwezavyo 😛Kwakweli tumshukuru Mungu
Hapana mkuu,sijauliza kwangu mimi,nimeuliza in general.Niwie radhi Mkuu 😃
Na wewe ni pia ni mtu mwema sana 🙏
Sijalingana na wemaKwanini unasema hivyo mkuu

Unajua wakati mwingine and unavyotaka kutoa compliments zako kuna Member wengine muhimu unajikuta unawasahu kuwa mention.Hapana mkuu,sijauliza kwangu mimi,nimeuliza in general.
Jf bhna ukiwa na IQ ndogo unaenda na maji....Mkuu kwahiyo wale wote ambao wewe hujawataja hapa,wao sio watu wema?
Mimi naona kwa sababu wew ni msanii kama ID yako ilivyo😄Mimi mpaka leo sijajua kama ni mwema ama mbaya maana naishi tu niwezavyo 😛
Una maanisha nini? huyo baba levo ndio nani?Jf bhna ukiwa na IQ ndogo unaenda na maji....
Naona mambo ya kina baba levo
Umaskini huleta wivu,kijicho, roho mbaya..Watu wema wapo juzi tu nimepata mgonjwa,a man from no where pale kcmc akani bless 200k simjui hanijui