Watu wema bado wapo na wanaishi

Pole cute
Dah sikuona hata msg ya account nilikua tayari miangaikon baadae nikarudi Na sikuona naomba nipe Na Mimi nichote Tu Baraka
Maana nilikufiria sana sana Jana mpaka nilirudi kwenye Ile thread usiku

Wakati member flani alikuja humu akasema napitia magumu sana naomba mnisaidie japo kimawazo niliwaambia watu
MTU anavyokuja kufunguka humu Ni uchungu umezidi
Yule member alikuja kujiua

Naomba tuifanye hii platform kuwa faraja
Nitumie DM acc
 
👏🏻👏🏻👏🏻
 
Ana heri mtu yule akumbukaye kushukuru , Barikiwa mkuu!
 
Nakubali humu ni zaidi ya familia ujue namna ya kuishi na watu

Kupunguza kiburi, kujisifia hovyo, mara hutaki kuwa chini......
Kuwa tuu humble utatengsneza familia kubwa tuu yenye msaada kwa wote
Hilo nimeprove mkuu,ujuaji siyo kabisa
 
Maisha yetu yana changamoto nyingi sana lakini tunapokuwa hapa na tunashirikishana kwenye changamoto zetu tulizo nazo japo kidogo tu.

Inatusaidia sana kuzipunguza na kutufanya tupunguze mikazo ya maisha pia.

Tusikilizane, tusaidiane, tupeane mawazo yenye kufariji, na tuthamiane pia.

Sisi sote ni watu wenye thamani sana kwenye hii dunia

T
 
HapaJF ,USICHUKULIE VITU PERSONAL,UKIJIELEZA VIZURI,HUMU 90% YA WADAU NI GIVING HEART, HIVYO WAPO WATAKAO KUBEZA LAKINI ISIWE SERIOUS NA NDIO HAO HAO WATAKUGUSA,NINAUHAKIKA WAPO HAPO WALIKUPA ZA USO NA WAMEGUSA MAISHA YAKO,JF ITS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…