Watu wema bado wapo na wanaishi

Nimeona.
 
There is a light at the end of every tunnel,sometimes things happen for a reason,
Unaweza kuona kama vile Mungu anakupitisha kwenye magumu,kumbe ndio njia ya kuelekea kwenye mema,

Stay blessed.
 
Ahsante Mkuu Manyanza hata wewe ni mtu mwema na una upendo sana humu. Endelea hivyo. Maisha ni mafupi sana hivyo upendo, wema na hekima vitawale. Shukrani sana 🫢
 
For sure,. Nimeliona hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…