Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi,
Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra kwanza.

Wewe kama ni mwanafunzi (unalelewa na mzazi) na unataka kuanza maisha ya kujitegemea, si tu unahitaji pesa ila Lazima ubadilike kwanza namna ya kufikiri. ndipo utaweza, hata kwenda kwenye ndoa ni hivo hivo.

Kila mtu anatamani kuwa Tajiri lakini ni wachache wanataka kufikiri kama tajiri (Wisdom) Akili mtu wangu

Sio kuvuja jasho sana, kukimbizana na uwongo mwingi.

Sasa Mada yangu ya Leo nataka Nikupe Muda wa Kufikiri na Kujua Nini Maana ya Maombi. (To pray) kwa Mungu.

Hakuna Tajiri asie mjua Mungu wala miungu. Hayupo.

Pray To God or gods. ipo hivo.

Swali langu ni Je wajua Kwanini Tunasali ???

Je kusali sana kuna faida ??

Mungu hampi kitu Binadamu hadi afanye kuomba/dua.

Huwezi kuwa na ulinzi, bila dua ??

Tupo Duniani kufanya dua ..??


Wengi hawajua Kuomba (Prayer) hasa wakristo ndio maana wamejazana makanisani Kupiga kelele sisizo na kichwa wala miguu

Kama huna Majibu sahihi ya kimaandiko Kaa kwa kutulia niwaletee nondo hizo.

Usije hapa na vimaneno vyako ulivyomezeshwa huko kuwa Mungu anapenda kuona ukila, kuoga, kuimba, kucheka, kupenzika ndio hufurahi sana.

Au unafikiri Ukiwa Mwema sana huna baya, msemo wa wasukuma ndoho tabu, ndio Mungu atakupenda na kukufurahia ???

Acha ujinga Mungu havutiwi na kelele zako, na hofu zako nyingi sisizo za msingi.

Surya The preacher

~>>>>>>Subscribe tuendelee 👇🏾
Mungu yupi unaye mzungumzia wewe mkuu....... you need to be specific

Mind you kuna zaidi ya Miungu 1000 dunia nzima
 
Mkristo na sala wapi na wapi kuomba tu hadi waombewe na manabii wa mchongo
 
Mungu anajua unachohitaji, so hahitaji umwambie nini cha kufanya (prayer). Just know your limits then tafuta sehemu iliyotulia kaa kwa utulivu 🧘‍♂️🧘‍♀️ Mungu ataongea na wewe
 
WACHAWI TUSHA MTULIZA ALITAKA ATUHARIBIE KAZI ZETU
 
Dream- Highest form of revelation

Vision -Highest form of sight.

Mstari unaotofautisha dream na vision ni upi? maana hata dream ni kuona pia
 
Huyu alikuwa anatafuta namna ya kukusanya sadaka na zaka tu ila mwitikio ulikuwa mdogo. Hana jipya
 
Back
Top Bottom