Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

Mungu yupi unaye mzungumzia wewe mkuu....... you need to be specific

Mind you kuna zaidi ya Miungu 1000 dunia nzima
 
Mkristo na sala wapi na wapi kuomba tu hadi waombewe na manabii wa mchongo
 
Mungu anajua unachohitaji, so hahitaji umwambie nini cha kufanya (prayer). Just know your limits then tafuta sehemu iliyotulia kaa kwa utulivu 🧘‍♂️🧘‍♀️ Mungu ataongea na wewe
 
WACHAWI TUSHA MTULIZA ALITAKA ATUHARIBIE KAZI ZETU
 
Dream- Highest form of revelation

Vision -Highest form of sight.

Mstari unaotofautisha dream na vision ni upi? maana hata dream ni kuona pia
 
Huyu alikuwa anatafuta namna ya kukusanya sadaka na zaka tu ila mwitikio ulikuwa mdogo. Hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…