Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho.
Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili.
Mungu wakati mwingine anakuruhusu "ubaki wewe" ili akufundishe somo ambalo vigelegele haviwezi kukufundisha.
Unapobaki wewe, unaanza kujisikia sauti yako, Unajifunza kujipikia, kujitengenezea, kujipigia makofi.
Unagundua kuwa heshima yako haipimwi na idadi ya watu waliokuzunguka, bali na amani iliyo ndani yako.
Hitimisho
Siku ukibaki wewe, usilie. Kaa. Jifunze. Jipange. Maana pale ndipo Mungu na wewe mnapatana bila mkalimani.
#Malenga wa Kiha
#Mwanasayansi Kalivubha Karibu