OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Poa - tuko pamoja.Matui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa - tuko pamoja.Matui.
Waeleze kuwa samaki wanauzwa kiasi gani, anahitaji wangapi? Mpe gharama.Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki.
Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya kununulia, maisha yameshakuwa ghali hata sisi tunakula matembele.
So shida yako nini??Yawezekana haujui kuandika hizo no. kwa tarakimu, ni ubashiri tu lkn
Hamna samaki zmepandaMmeanza uchoyo
Hata ukiwa mbeya wanadhani mchele unajchotea tu hawajui Bei vzrWatu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki.
Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya kununulia, maisha yameshakuwa ghali hata sisi tunakula matembele.
Waaagizaji hawajui Bei kbsKweli mfano mtu akiwa moshi akitaka kuja dar lazima ataambiwa aje na ndizi, Tabora ataambiwa aje na Asali, Mbeya ataambiwa Mchele, Singida kuku.
Niko ndidu hapa karbu opayani[emoji3][emoji3]Niko kikijini Lesoit kitongoji cha Orbigit jirani sana na shule ya Sekondari.
Mbona ww husemi uko wapi?
Inashangaza sanaukija Dar kutoka Mwanza bila samaki watu wanakuona mfoloo.
Kula, kufa kupo tuTena sasa hivi wana bei kweli [emoji2301][emoji2301]
Tunakula mchicha kwa kwenda mbele na hivi mara wanaleta kansa mara maji ya maiti
Ashee. Wasalimie ndugu zangu wapo hapo Embong'et njiani kuelekea Ngahe kwa Mh.mstaafu. 😂 😂 😂 🏃♂️Niko ndidu hapa karbu opayani[emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
😂😂😂
Hatuli ng'o. Tunakubali kufa kupo tu lakini Wacha tufe kwa kudra za M/Mungu sio kwa kula samaki hao. 🏃♂️ 🏃♂️
Enhe! Na hapo kazi inapokosekana ndipo anageuka kuwa miongoni mwa panyarodi.Vinginevyo akitua tu Dar we chap mpe kazi ya kugeuka kurudi alikotoka mikoani.Usimwache ajichanganye katika magenge - huenda akatwangwa risasi.Kama ambavyo watu wa mikoani mnafikiri Dar kazi zimejaa Tele zinasubiri watu....Utasikia mdogo wako huyo mpokee umtafutie kazi