Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Umechanganyikiwa.Vipi,umeshapewa ahadi za zawadi ya nyama na vijisenti kadhaa wakati wa Eid al Hajj?Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee
Takbiiir Allah Akbar
Hahah huyu ameambiwa atawekewa nafasi ya sinia la waliUmechanganyikiwa.Vipi,umeshapewa ahadi za zawadi ya nyama na vijisenti kadhaa wakati wa Eid al Hajj?
Awe makini.Atafanyiwa michezo dhalili wakati wa kula huo ubwabwa akabwe na kipande cha nyama.Hahah huyu ameambiwa atawekewa nafasi ya sinia la wali
Sasa wapo kanisani watajibu vp takbir?Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee
Takbiiir Allah Akbar
Kwan kabla na baada ya kufa dunia ilikuwa na nani?Wamechoka kuamiñishwa Bikra Maria ni mama wa Mungu.
Halafu Mungu alikufa dunia ikabaki yenyewe kwa kipindi. 😂
Sijui kama hatakueleza kwamba dunia ilikuwa imezama kwenye tope zito ikijipumzisha.Kwan kabla na baada ya kufa dunia ilikuwa na nani?
Yupo kilabu kinaitwa "Mahaba Niue"!Kachanganyiwa Master kwenye ulanzi.Weekend hii jamani mnywe kiistarabu..🍺
Uislamu, Ukristo, Upagani, Ubudha, Uhindu na Urastafarian kamwe hautakaa ukuletee mkate wa kila siku nyumbani kwako, amka usingizini we Mtumwa wa dini zilizokuja kwa majahazi.Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee
Takbiiir Allah Akbar
MBWAWakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee
Takbiiir Allah Akbar
Iringa nchi ya kiislam tangu abdallah mkwavinyika(mkwawa)Umechanganyikiwa.Vipi,umeshapewa ahadi za zawadi ya nyama na vijisenti kadhaa wakati wa Eid al Hajj?