Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Mikoa ya Jehanamu
 
Kule kwetu ukienda kwa mtu lazima akupe chakula utoki hivi hivi bila kula unakutana na ugali wa ngazi tatu na samaki mzima ukibakisha ugali wanasema haujashiba wanaingia upya jikoni kupika.
Duu mie hapo ni samaki ugali kiasi, ila siku akija kwako mtendee vivyo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma wa wapi hao Kapisi? Kijiji gani?
 
Kubeua mbele za watu wakati mnakula, kuchokonoa meno na vidole, kulamba vidole na kubwa kuliko yote ni kuongea na chakula mdomoni tena unakuta alishakitafuna kimekuwa na mate aaaargh...aisee bila kupepesa jicho nakuachia chakula. Mimi hata kama tunakula kila mtu sahani yake ukibeua au kuongea na chakula mdomoni na kula kunaishia hapo hapo.
Inakera sana.
 
We umeenda kuoa huko kanda ya ziwa ya mwisho wa dunia unadhani ingekuaje.
 
wafilika siyo watu.ni.fotokopi 🀣
 
Wote ni walewale ila hiyo sio kanda ya ziwa tu ni kote wanaokula kwa mkono
Kanda ya ziwa tuna taratibu zetu hata kwenye kula samaki kuna miongozo tuliyofundishwa tungali wadogo, hata ukataji wa kuku au uchunaji na ukataji wa nyama ya ng'ombe, mbuzi na kondoo sasa hayo unayoyasema labda ulikuwa kwa jamii yako yenye table manners za ajabu ajabu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…