Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu, kweli kikaletwa nikala. Japo maneno ya chinichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndio nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndio kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku. Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndio wanaunafuu.

USHAURI: Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu. Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
uko sahihi Mkuu...
Hapa Ofcn niko na jamaa mmoja wa Kabila maarufu sana toka Wilayani Tarime. Jamaa akiwa anakula chakula huwezi kaa karibu yake maana ni zaidi ya mnyama "Mbwa" maana ni hovyo kuliko hovyo yenyewe. Bado sijajua tatizo la jamaa zetu hawa ni nini.
 
na story zake za hakuna Mungu,
ukimsoma kimakini ni brainwashed mmoja ambaye kapotezwa na kakaririshwa asivyovijua, ila kwa kuwa ana mahaba na wazungu basi kaingia kichwakichwa ila huwa hajui kukitetea anachokibishia,
anadhani mambo ya spiritual ni hadithi za alfu lela ulela,
hapa jf wanamsifia washamba wenzake tu mi nshampuuza kitambo
Na akiona umemzid anakutushia kwa ku-ignore
Baada ya kumuona anatishia watu kwa kuwa-ignore nikagundua uwezo wake ni mdogo wa kupambana kihoja
 
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu, kweli kikaletwa nikala. Japo maneno ya chinichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndio nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndio kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku. Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndio wanaunafuu.

USHAURI: Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu. Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
nimekuwa karibu na watu wa huko miaka mingi mbona icho kitu sijawahi kukiona ndugu?
 
Back
Top Bottom