Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Ukabila in chief
 
Hahahaha
 
Japokuwa huja taja kabila ila moja kwa moja hao ni wasukuma hata mkienda sehem ya kuangalia mpira mkagiza kinywaji badala anyway kistarabu hku tukicheki gemu yeye ana piga tarumbeta hata dakika haziishi ....dah...
[emoji23][emoji23]
 
Unaona kuishi marekani ni ujanja au ni achievement ushamba na ulimbukeni unakusumbua sana
Mkuu,

Kabla sijazaliwa nilikuwa natamalaki kutembea kwenye corridors za Ikulu nikiwa tumboni mwa mama yangu.

Sehemu nzuri nzuri nimeanza kuzitembelea kabla sijazaliwa. Sio leo habari za Marekani tu.
 
Nje ya mafundisho ya Kiislam huwezi kujuwa maadili ya kula na hata ya usafi.

Wengi wanakwenda chooni wanatoka hawajanawa, si mavi si mikojo.

Uchafu mtupu.
 
Kusema kweli watu wa kanda ile ni kinyaa kweli wakati wa kula!
Utakuta mtu anakula huku anatafuna kwa mdomo wote kuachama!
Kibaya zaidi akiwa anaongea huku anatafuna na kuchokonoa meno!
. Etwege akisoma hapa atalia sana na kuwalaani CHADEMA!
 
Huwa napata tabu ukiwa na rafiki wa kutoka kanda hiyo(wasukuma )alafu mkapanda daladala ,hana siri Yani yote anaongea alafu kwa sauti kubwa na hajali wala hashtuki🤣 unaweza mkataa kubwa humjui ujue


Usiombe apigiwe simu mpo kwa gari halafu simu iwe na shida kidogo ya mic 🎤 utaipenda
 
Acha ujinga,usichafue makabila ya watu wewe,weka jina lako halisi tujue kabila lako
 
kuna namna wanasokota tonge na kuligawa mara mbili hadi tatu
 
yaani huyu jamaa exposure yake haijamsaidia hata kidogo anapaona marekani kama mbinguni kwa baba ana ushamba mwingi sana
Ni mshamba kupita maelezo
Hapa dunian sisi wote ni wapitaji hatakama unamaishi mazuri sana usijione kama ndo umefika sisi ni wapitaji ndani ya dakika mbili you're dead man unazikwa alafu watu wanasahau wanaendelea na maisha yao

Watu wanamsifia sana ila mimi namuonaga tu mshamba hasa nikisoma comment zake anaonaga yeye kuishi marekani ndo akili anashangazaga sana
 
Japokuwa huja taja kabila ila moja kwa moja hao ni wasukuma hata mkienda sehem ya kuangalia mpira mkagiza kinywaji badala anywe kistarabu huku tukicheki gemu yeye ana piga tarumbeta hata dakika haziishi ....dah...
Duh mnawajua tabia zao kumbe
 
na story zake za hakuna Mungu,
ukimsoma kimakini ni brainwashed mmoja ambaye kapotezwa na kakaririshwa asivyovijua, ila kwa kuwa ana mahaba na wazungu basi kaingia kichwakichwa ila huwa hajui kukitetea anachokibishia,
anadhani mambo ya spiritual ni hadithi za alfu lela ulela,
hapa jf wanamsifia washamba wenzake tu mi nshampuuza kitambo
 
Dah ngosha wamejazana kwenye bus la al saedy toka ifakara kwenda dar mwaka 2013 Kuna mmoja nimekaa nae amepanda na karanga anakula zile za kuchemsha nikavunga, gari kufika mang'ula kona kanunua mahindi ya kuchemsha na muwa, akanikaribisha mahindi nikachomoa Kala mahindi mawili kamaliza halafu funga kazi akaanza kula kula muwa ule. Pale ndio tulitibuana yani maganda ya muwa yote yanatoa Yale madude meupe yanaishia mwilini kwangu, ikabidi nimwambie huo sio ustaarabu huoni unanichafua?

Basi ngosha akawa anaumenya muwa ndani ya koti lake alilovaa, akaula hadi akamaliza. Kufika mikumi town pale kanunua chips, mishkaki na soda ya Pepsi! Akazibonyeza nazo zikaisha, kufika maeneo ya Doma kwa mbele alianza kupumua kupitia sikio kubwa, dah nashukuru nilishukia morogoro ila alijamber sana yule mwamba sitamsahau, ila mtu poa sana alikuwa ananikaribisha kila anachonunua.
 
Wewe unakula mpaka unalamba vidole? Wasukuma tunafundishwa kula kwa mkono tangu tukiwa wadogo? Ukiweka vidole vyote mdomo viboko utavioga na kula utakula huku unalia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…