Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

Soko(suuk) ni neno la kiarabu,wazanzibar wanalijua neno soko,walitumia kabla mwingereza hajaenda zenj,marikiti(market) ni la muingereza
Ni kweli mkuu, lakini kwa Sasa wanatumia wengi neno marikiti
 
Eti uende dukani useme "nataka robo tatu" bara ni wajinga sana .
Nimelitumia Sana Hilo neno robo tatu huko tabora,ni sahihi,hakuna shida,ukipima robo robo tatu unapata nusu na robo
 
Nimelitumia Sana Hilo neno robo tatu huko tabora,ni sahihi,hakuna shida,ukipima robo robo tatu unapata nusu na robo
Sio sahihi robo tatu inatumika kweny maumbo sio vipimo vya nafaka ...Hakuna jiwe la robo tatu la kupimia unga .
 
Mama yako mthengeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mnuka chupi!
Akili ya mtu wa Pwani kwenye ubora wakoo πŸ˜…πŸ€ͺ

Yan hapo kwa huko Pwani unaonekana ni bonge la mjanja πŸ˜… na awamu hii mihogo imeenda na maji sjui mtatamba na nn πŸ˜…πŸ˜…

Watu wa robo na nusu 😁 watuu wa πŸ‘Œ
 
Hakuna jiwe la nusu na robo la kupimia unga
Sijawahi kuona ,mawe yale yapo kwa size ukitaka nusu na robo anaweka mawili nusu na lile dogo kabisa.

Kwetu tunauza duka tangu naondoka miaka ya 2006 ,labda mizani za sasa.

Kile kidogo kabisa robo tumefunga kabisa pale ,hilo jiwe sijawahi kuona.
 
Akili ya mtu wa Pwani kwenye ubora wakoo πŸ˜…πŸ€ͺ

Yan hapo kwa huko Pwani unaonekana ni bonge la mjanja πŸ˜… na awamu hii mihogo imeenda na maji sjui mtatamba na nn πŸ˜…πŸ˜…

Watu wa robo na nusu 😁 watuu wa πŸ‘Œ
Meno ya kuoza ,kuoga tatizo kaa pembeni hata kuandika mitihani πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜†
 
Sijawahi kuona ,mawe yale yapo kwa size ukitaka nusu na robo anaweka mawili nusu na lile dogo kabisa.

Kwetu tunauza duka tangu naondoka miaka ya 2006 ,labda mizani za sasa.

Kile kidogo kabisa robo tumefunga kabisa pale ,hilo jiwe sijawahi kuona.
Hayo ni mawe mawili,moja la nusu jingine la robo,kwenye la nusu Kuna robo mbili,ukiongeza na Hilo la robo inakuwa robo tatu
 
ZANZIBAR SWAHILI WORDS

wewe - weye

majukumu - kazi mkononi

funga mlango - tia Pete

usiniudhi - nitolee hashuo

nyanya - tungule

bubble gum - ubani

wali - ubwabwa

mjomba - ammy

sokoni - marikiti
Wali ni kitu kingine na ubwabwa ni kitu kingine, ubwabwa ni mapishi kama Wali sema unaekwa maji mengi unatota, mara nyingi hupikiwa mama waja wazi to waliojifungua. Pwani maneno yote mawili yanatumika.
 
Ahsante Sana mkuu, kwa kushiriki na kutoa elimu pana
 
Meno ya kuoza ,kuoga tatizo kaa pembeni hata kuandika mitihani πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜†
Dada hv ww ndio wakuniambia mm kuandka kwangu ni tatzo !!πŸ˜†πŸ˜… kwamba hta kuandka ni mitihan πŸ˜πŸ˜… sjui mitihan mingap πŸ˜…

Watu wa Pwani buanaa πŸ˜† hapo kanajiona kajanjaa 😁 kumbe kachumbaa tuu.
 
Hayo ni mawe mawili,moja la nusu jingine la robo,kwenye la nusu Kuna robo mbili,ukiongeza na Hilo la robo inakuwa robo tatu
Sasa hapo kuweka mawili ndio watu wanatenganisha kuita nusu na robo ,tuje sasa anayesema robo tatu πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… ndio nasikia leo tangu nazaliwa.

Vipimo kutokana na mawe mfano kilo mbili na nusu hapo umeweka jiwe na kilo mbili na nusu.

Sasa hawa wa robo tatu wametoa wapi ,wakati hivyo ni vipimo vya kweny maumbo ..Mbona kweny mafuta tunatumia lita sio sio kilogram.

Watu wa bara wanahitaji elimu sana kila sehemu kuna vipimo vyake.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dada hv ww ndio wakuniambia mm kuandka kwangu ni tatzo !!πŸ˜†πŸ˜… kwamba hta kuandka ni mitihan πŸ˜πŸ˜… sjui mitihan mingap πŸ˜…

Watu wa Pwani buanaa πŸ˜† hapo kanajiona kajanjaa 😁 kumbe kachumbaa tuu.
Sikiliza kwanza wewe kenge wa bara! Ugali unaweza kugawa robo tatu ukiwa solid kwa kukata πŸ˜…πŸ˜…kama slices ila unga huwezi kupima kwa robo tatu ,una mengi ya kujifunga ila anza na kuoga kwanza.
Unga unataja vipimo exactly kutokana na mawe ya kupima ,hizo robo tatu labda ugali ushapikwa upo solid πŸ˜…πŸ˜…kama unataka kula ukataka hiyo robo tatu .

Hivyo vipimo vya robo tatu mtapeleka mpaka kweny mafuta πŸ˜…πŸ˜…kenge wa bara mna mengi sana ya kujifunza .

Mafuta tunatumia lita kama vimiminika vingine hata mazima ..Vipimo vingine ni mm .
 
Unalazimisha ,mimi najua kiswahili kushinda aliyekuzaa ambaye hata kusoma hajuiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Watu wa pwani hatutaki shobo na wanuka midomo .!
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Waambie hao "Mwinyi" Kujikuta wajuaji nangali wali nazi wenyewe wametoka kuujua majuzi.
 
Hakuna mtu kutoka Pwani amewah kuwa akili ndio vilaza wa elimu nchi hii, watu wa Pwani kichwan ni weupe pee.

Kwenye 1kg kuna robo 4 ,unaposema robo 3 unakuwa umeeleweka Labda kilo zenu nyie zina robo ngap huko!?

Hyo nusu na robo huku kwetu ni mtoto mdgo anaejifunza kuongea ndio anaweza kuongea hvo, yn mtu mzima kbs ety robo na nusu Kwan haujui kwenye 1kg kuna 1/4 ngap kha.
 
Inaonekana wewe ndio hujui vizuri kiswahili.
Kiswahili kina lahaja tofauti tofauti na nusu na robo ni sahihi wala haijakosewa.
 
Robi tatu kweny unga? Hakuna weny akili kutoka bara tangu nchi iumbe ,wakati tunatafuta uhuru nyie hata kuoga hamjuiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Bara wengi wathenge ndio maana mnajazana huku pwani ,angalia context eti kipimo cha unga robo tatu ina maana aweke majiwe matatu ya robo?

Wajinga sana mna mengi ya kujifunza hakuna aliyeoza meno huku, tunachek sijui mnakula kinyesi meno yana kutu kama ngedere.

Akili mzitoe wapi πŸ˜…? Wachafu shenzi kabisa!

Entertainment zote zipo pwani kila kitu mpaka elimu..Mfano mimi nije bara kufanya nn ? Sehemu ina washamba watu wachafu wananuka kama mbuzi!

Hayo manukato bara hamna ,wezi mnanuka.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…