Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Ami au hio uloandika ammy ni baba mkubwa au baba mdogo. Mjomba ni hio hio mjomba yaani ndugu wa mamaZANZIBAR SWAHILI WORDS
wewe - weye
majukumu - kazi mkononi
funga mlango - tia Pete
usiniudhi - nitolee hashuo
nyanya - tungule
bubble gum - ubani
wali - ubwabwa
mjomba - ammy
sokoni - marikiti
Funga mlango pia unaweza kusema komea mlango. Na hio Korlmea au tia pete yaani ni ku lock. Lkn funga ya ku shut tunatumia hio hio funga mlango.
Hapo nilitegemea ungeongelea tunavyokata maneno
Usinikere usin'kere
Nakwenda-naenda n.k