Hizo zaitwa lahaja.ZANZIBAR SWAHILI WORDS
wewe - weye
majukumu - kazi mkononi
funga mlango - tia Pete
usiniudhi - nitolee hashuo
nyanya - tungule
bubble gum - ubani
wali - ubwabwa
mjomba - ammy
sokoni - marikiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zaitwa lahaja.ZANZIBAR SWAHILI WORDS
wewe - weye
majukumu - kazi mkononi
funga mlango - tia Pete
usiniudhi - nitolee hashuo
nyanya - tungule
bubble gum - ubani
wali - ubwabwa
mjomba - ammy
sokoni - marikiti
Eti mtu aseme robo tatu 😅😅😅😅wajinga hawaInaonekana wewe ndio hujui vizuri kiswahili.
Kiswahili kina lahaja tofauti tofauti na nusu na robo ni sahihi wala haijakosewa.
Kwa sentence hii umedhirisha uPwani wako😅 yan ukilaza wakoSikiliza kwanza wewe kenge wa bara! Ugali unaweza kugawa robo tatu ukiwa solid kwa kukata 😅😅kama slices ila unga huwezi kupima kwa robo tatu ,una mengi ya kujifunga ila anza na kuoga kwanza.
Unga unataja vipimo exactly kutokana na mawe ya kupima ,hizo robo tatu labda ugali ushapikwa upo solid 😅😅kama unataka kula ukataka hiyo robo tatu .
Hivyo vipimo vya robo tatu mtapeleka mpaka kweny mafuta 😅😅kenge wa bara mna mengi sana ya kujifunza .
Mafuta tunatumia lita kama vimiminika vingine hata mazima ..Vipimo vingine ni mm .
Utohowaji wa maneno ni kawaida katika lugha.Soko(suuk) ni neno la kiarabu,wazanzibar wanalijua neno soko,walitumia kabla mwingereza hajaenda zenj,marikiti(market) ni la muingereza
wali na ubwabwa ni viwili tofauti mkuu,vyote ni viswahili sanifu.ZANZIBAR SWAHILI WORDS
wewe - weye
majukumu - kazi mkononi
funga mlango - tia Pete
usiniudhi - nitolee hashuo
nyanya - tungule
bubble gum - ubani
wali - ubwabwa
mjomba - ammy
sokoni - marikiti
Wakat unatafuta uhuru na nani surely 😅😅 wakati bila sisi had leo hii nyie mngekuwa chakula ya jamaaRobi tatu kweny unga? Hakuna weny akili kutoka bara tangu nchi iumbe ,wakati tunatafuta uhuru nyie hata kuoga hamjui😅😅😅.
Bara wengi wathenge ndio maana mnajazana huku pwani ,angalia context eti kipimo cha unga robo tatu ina maana aweke majiwe matatu ya robo?
Wajinga sana mna mengi ya kujifunza hakuna aliyeoza meno huku, tunachek sijui mnakula kinyesi meno yana kutu kama ngedere.
Akili mzitoe wapi 😅? Wachafu shenzi kabisa!
Entertainment zote zipo pwani kila kitu mpaka elimu..Mfano mimi nije bara kufanya nn ? Sehemu ina washamba watu wachafu wananuka kama mbuzi!
Hayo manukato bara hamna ,wezi mnanuka.😅😅😅
Nionyeshe jiwe la robo tatu hanithi wewe😅😅😅..Mtu anasema awekewe jiwe la nusu na roboKwa sentence hii umedhirisha uPwani wako😅 yan ukilaza wako
Okay hyo nusu na robo kwa kingereza unaiitaje !? Ndio muone mlivyo viande 😅 robo tatu ni three quarters ,jus Simple n clear, ww endelea kukuna nazi tu ndio issue mnaweza.
Na ukjua kuoga ww dada inatosha, wanaume tuna mambo mengi 🤪
Zanzibar ni pwani lakini kiswahili chao kuna maeneo kina Shida sana,Niliwahi kukaa na mzazibari sehemu alikuwa akiongea simuelewi kabisa anaongea nini. Nimezaliwa pwani,nimekulia pwani,hakuna sehemu utapata kiswahili sahihi kama pwani. Pwani ndio kwa waswahili. Mfano mmoja wa mpemba ndio uje ukosoe watu wote wa pwani?Kwa sentence hii umedhirisha uPwani wako😅 yan ukilaza wako
Okay hyo nusu na robo kwa kingereza unaiitaje !? Ndio muone mlivyo viande 😅 robo tatu ni three quarters ,jus Simple n clear, ww endelea kukuna nazi tu ndio issue mnaweza.
Na ukjua kuoga ww dada inatosha, wanaume tuna mambo mengi 🤪
Kwa kiingereza ni quarter and a half.Kwa sentence hii umedhirisha uPwani wako😅 yan ukilaza wako
Okay hyo nusu na robo kwa kingereza unaiitaje !? Ndio muone mlivyo viande 😅 robo tatu ni three quarters ,jus Simple n clear, ww endelea kukuna nazi tu ndio issue mnaweza.
Na ukjua kuoga ww dada inatosha, wanaume tuna mambo mengi 🤪
Hv nyie huko mkifka dukani ndio mnasema niwekee jiwe la nusu na robo si ndio 😅Nionyeshe jiwe la robo tatu hanithi wewe😅😅😅..Mtu anasema awekewe jiwe la nusu na robo
Sasa wewe nionyeshe jiwe la robo tatu, wajinga wakati ukitaja anaweka jiwe la nusu na robo...Wanuka midomo mna mengi sana ya kujifunza.
Robo tatu inaweza kutumika kweny maumbo tu sio vipimo vya dukani ,hakuna jiwe la robo tatu.
Kwa hiyo ,ukitaka kilo 2 na nusu ,unasema nataka robo tano😅😅😅
Okay kwhyo ukienda dukan ukaongea kwa kiingereza utasemaje!?Kwa kiingereza ni quarter and a half.
Kwamba robo 3 inatumika kwenye maumbo tu ila nusu na robo ndio kwenye vipimo vingne 😅 a little bit mad 😁Nionyeshe jiwe la robo tatu hanithi wewe😅😅😅..Mtu anasema awekewe jiwe la nusu na robo
Sasa wewe nionyeshe jiwe la robo tatu, wajinga wakati ukitaja anaweka jiwe la nusu na robo...Wanuka midomo mna mengi sana ya kujifunza.
Robo tatu inaweza kutumika kweny maumbo tu sio vipimo vya dukani ,hakuna jiwe la robo tatu.
Kwa hiyo ,ukitaka kilo 2 na nusu ,unasema nataka robo tano😅😅😅
Kiingereza chenyewe hujui.Okay kwhyo ukienda dukan ukaongea kwa kiingereza utasemaje!?
Sisi huku utasema, measure out three quarters of rice inaeleweka hyo na nyie sasa.
Au ndio utasema measure out quarter and ahalf of rice 😅 mlipuyanga na hamkupewa education until it's worse
Man be serious 😅 nyie ndio mnaongea English yakukaririKiingereza chenyewe hujui.
You are grammatically wrong.
You were supposed to say three quarters kilogram of a rice.
Na kwa kiingereza saying quarter and half kilograms of rice ndio sahihi zaidi.
Nionyeshe jiwe la robo tatu, angalia mazingira hapo sisi tunataja mawe ya vipimo sawa swa😅😅😅.Kwamba robo 3 inatumika kwenye maumbo tu ila nusu na robo ndio kwenye vipimo vingne 😅 a little bit mad 😁
Mjomba mm sio mtu waPwani aseeh😁 wadanganye haohao vilaza wa huko😅 ambao akili zao zinawaza singeli tu.
Lugha ya kiswahili ilianzia Pwani hivyo basi lugha ya kiswahili imechanyika na Lugha za watu wa pwaniLicha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar.
Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la Mpemba hili kununua mahitaji yangu. Kwanza nikauliza kuna dawa ya meno, akanijibu ndio zipo, ila rafudhi imekaa kizanzibari fulani hivi, nikajua huyu mpemba. Akanitajia bei ya bidhaa niliyokuwa nahitaka, zilikuwepo bei za bidhaa tofauti tofauti na mbili wapo zilipishana utofauti wa bei ya shilingi 100, nikauliza kwa nini dawa hizi za kampuni moja zipishane utofauti wa 100.
Jamaa akazungumza kiswahili ambacho mimi binafsi nilikuwa sielewi nini anazungumza, niliona ana bwabwaja tu, kikugha si kilugha kiswahili si kiswahili huku mimi nikinasa maneno machache tu. Sentensi pekee niliyoinasa ni "Ndio maana watanzania mkienda Kenya mnawekwa mahabusu hamsikilizwi, polisi wanakwepa kuzungumza nanyi kiswahili" moja kwa moja nikajua jamaa kiswahili anapata tabu sana kizungumza kwa ufasaha.
Wazaramo na makabila mengine ya pwani wanapuyanga sana kwenye kiswahili;
Mfano: Robo tatu, wao wanaita nusu na robo ambacho si kiswahili fasaha.
Pole sana ni kama nakunyanyasa hv 😅 nlichokiona kwako n dhahiri shahiri unakariri na n Mwl gani aliekufundisha robo 3 inatumika kwenye maumbo tu !? Na kuhusu vyeti vyeki ni km umejitusi 😁 wote tunajua Pwani ndio nyumbani kwa Vilaza.😃Nionyeshe jiwe la robo tatu, angalia mazingira hapo sisi tunataja mawe ya vipimo sawa swa😅😅😅.
Kwa hiyo unga wako ni robo tatu ,yaani robo tatu ya unga 😅hii neno kimantiki halipo sawa ,kaandike kingereza robo tatu ya unga then angalia grammar. Robo tatu ya eneo sio unga ndio maana manatolewa vyeti fake 99% ni wabara .
Kwa hiyo nyie pumbavu ,ukitaka nusu unasema nataka robo mbili ,wakati lipo jiwe moja la nusu .
Keki na vitu vya solid ndio vinaweza kukatwa robo tatu ila unga huwezi kutaja robo tatu labda ugali ,kwa sababu kimantiki na maandishi ni totally error yaani hujui kitu kabisa.
‘Nusu na robo’ ina tofauti gani na ‘robo tatu’?Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar.