Zanzibar ni pwani lakini kiswahili chao kuna maeneo kina Shida sana,Niliwahi kukaa na mzazibari sehemu alikuwa akiongea simuelewi kabisa anaongea nini. Nimezaliwa pwani,nimekulia pwani,hakuna sehemu utapata kiswahili sahihi kama pwani. Pwani ndio kwa waswahili. Mfano mmoja wa mpemba ndio uje ukosoe watu wote wa pwani?