Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
We ulikuwa Uarabuni tu, sema ukweli wako. Maana mapepo yapo huko.Kuna wakati nilikuwa nchi za watu nilisikiliza mziki kwenye laptop kupitia earphones mara nilitupa earphones mezani kwa jinsi ala ile ya muziki ilivyokuwa ya kishetani! Nilijiskia hovyo mno na kuvamiwa na pepo siku nzima ila kwa bahati nzuri nilikuwa nimeshamfahamu Bwana Mkubwa Yesu Kristo. Niliyacharaza mapepo kwa maombi na asubuhi na mapema ile naamka tu usingizini nilikia kitu kikilia kwa heeeeerrrrrrr!!! Na ilikuwa ndio bye bye. Kuwa mwagalifu sana na miziki na picha inazoangalia!
Kilichomponza suleiman kuoa wanawake wa kutoka mataifa mengine kizazi cha moabi Mungu alishamkataza mwisho utawala wake ukaangushwa sababu ya kuabudu miungu mingineWalokole na wewe sijui msabato sijui mna shida sana. Ni mengi duniani Yana shida. Hata mpira, ngono(sometimes hata kwa wenzi qa ndoa), biashara, pesa, chakula,mavazi na mengine mengi ni vibaya. Lakini Mungu ameruhusu viwepo ili tufurahie tunapovitumia vizuri na kwa kiasi. Mlokole hata nyimbi ya Bob Rudala nimekuchagua wew atasema ni mbaya🤣🤣 sipati picha wanaishije na wenzi wao huko majumbani. Yan suleman tu mwenyew alikua akipenda nyimbi mpk akaandika na mashairi ya kumsifia mwanamke. Ungekuja na Uzi wako hapa kutummbia mziki fulan chanzo chake Hiki na kwann haufai au utumiwe ka kiasi tungewaelewa. Punguzeni mihemko Mungu hayuko hivyo aisee!
Sasa mbona unakuja kujibu kitu kingine tofauti? Kuoa wanawake wa mataifa mengine na kusifia mwanamke Kuna uhusiano Gani? Ni dhambi kutunga mashairi ya kusmifia mwanamke wako? Au kusikiliza mashairi nyimbi ya kumsifia mwanamke?Kilichomponza suleiman kuoa wanawake wa kutoka mataifa mengine kizazi cha moabi Mungu alishamkataza mwisho utawala wake ukaangushwa sababu ya kuabudu miungu mingine
Ila inategemea ni nyimbo za ain gani!
Wew ndio upunguze mihemko. Kwanza jiulize kwann huyo sulemani alikufa dhambini!!!?Walokole na wewe sijui msabato sijui mna shida sana. Ni mengi duniani Yana shida. Hata mpira, ngono(sometimes hata kwa wenzi qa ndoa), biashara, pesa, chakula,mavazi na mengine mengi ni vibaya. Lakini Mungu ameruhusu viwepo ili tufurahie tunapovitumia vizuri na kwa kiasi. Mlokole hata nyimbi ya Bob Rudala nimekuchagua wew atasema ni mbaya[emoji1787][emoji1787] sipati picha wanaishije na wenzi wao huko majumbani. Yan suleman tu mwenyew alikua akipenda nyimbi mpk akaandika na mashairi ya kumsifia mwanamke. Ungekuja na Uzi wako hapa kutummbia mziki fulan chanzo chake Hiki na kwann haufai au utumiwe ka kiasi tungewaelewa. Punguzeni mihemko Mungu hayuko hivyo aisee!
Umejuaje??Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba
dah zile zinatukuza ngono mwanzo mwisho, sioni jema kwenye hizo nyimbo kwa upande wangu . Labda kwa wengine.Kama za zuchu zipo kundi gani? [emoji3][emoji3]
Unakaza fuvu kwenye vitu vidogo sana. Nipe andiko linalokata mziki,nipe andiko linalosema mziki una ushetani, nipe andiko linalosema kosa la sulemani lilianza kwa kusikiliza mziki na kuandika mashairi ya kumsifia mwanamke? Na jiulize kama mashairi ya kumsifia mwanamke ni mabaya kwann Mungu aliruhusu maandiko ya WIMBO ULIOBORA kuwepo kwenye moja ya vitabu vya biblia? Nimekupa mfano WIMBO wa bongo fleva wa BOB RUDALA-NIMEKUCHAGUA WEWE kua je una ubaya Gani na je una ushetani? Na ushetani wake ni nn haswa? Kuhusu suleman kosa lake ni moja tu alivutiwa na wanawake wa mataifa ya kigeni ambayo yalikua yakipagani. Na before kabisa alionywa. Sasa kama wewe unahusianisha na kuanguka kwake dhambini hebu niambie inahisiana vipi na nyimbo? Mi nilikua point moja tu, kila kitu duniani kina shida kama hujakitumia vizuri na kwa uangalifu. Internet unayotumia Ina shida, bidhaa unazotumia zina shida, simu unayotumia ina shida, manunuzi unayofanya Yana shida, vipindi vya redio na tv unavyoangalia vina shida,nguo,marafiki, Yani kila kitu. Lakini kila kitu kinahitaji uangalifu na kiasi ili kisichafue ibada Yako. Japo Kanuni na sheria za Mungu hazina excuse. Wewe kama ni mlokole au msabato unapinga nyimbo na hivyo vingine unatumia utakua mnafki. Na ni lazima kimojawapo utakua unatumia kupita Kiasi au utakua unajisahau. Mwisho kutokana na mwelekeo wetu wa kutokamilika kujicontrol kwenye kila kitu hua ni ngumu. So Mungu hua anabariki na kuthamini jitihada zetu licha ya kutotii kwa 100% . Tusijidanganye kila kitu mnaweza kufanya kwa ukamili.mtaishia kuwabebesha waumini wenu mizigo isiyo na maana. Ndomana mna masheria makali sana ambayo hayana maana na msingi wowote wa kimaandiko. Kila kitu KINAHITAJI KIASI MRADI BIBLIA HAIJASEMA HICHO NI DHAMBI AU HAKIVUNJI KANUNI ZA NENO LA MUNGU(Mind you hapo nimeongelea KANUNI na sheria). HEBU HIO MINDSET YAKO BADILISHAWew ndio upunguze mihemko. Kwanza jiulize kwann huyo sulemani alikufa dhambini!!!?
.
Halafu mwanga na giza havichanganyikani hata siku moja na ndio maana unakatazwa kufanya hivyo, kimsingi huwezi kufurah pamoja na pepo ni either litakuangamiza hapo hapo au linakuvutia mda tu.
.
Akili kumkichea ukitaka sikia usipotaka endelea kuenjoy na mapepi yako..
Namkubali mkuu. Swali langu ni je sababu ilikua mashairi aliokua akiandika ya kumsifia mwanamke? Na ukumbuke mashairi hayo Mungu kayaruhusu yawepo kwenye neno lake bibliaKilichomponza suleiman kuoa wanawake wa kutoka mataifa mengine kizazi cha moabi Mungu alishamkataza mwisho utawala wake ukaangushwa sababu ya kuabudu miungu mingine
Ninakubali na hii ni namna moja ya kuelezea jambo kutumia mapepo na malaika.Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki.
Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo wachafu hukimbia.
Ikipigwa kiibirisi Malaika huondoka na majini hutamalaki.
Mganga ili apandishe pepo na mizimu huranguliwa na mapambio na ngoma za kijini. Daudi ili amtoe pepo Mfalme Sauli pepo alipiga chomo cha Muziki kiutukufu pepo akala kona.
My take...
Miziki ya kusisimua, iliyojaa midundo mikali, yenye maneno uanayosifia watu, vitu na mambo machafu bila kujali zinapigwa kanisani au msikitini au disko au au masikioni kwa headphone au masterbed room au sebuleni au popote ni mwaliko wa mamilioni ya majini kuja kuwavuvia wanenguaji na wafuatiliaji.
Kuwa makini na chaguzi zako za kusikiliza. Unachosikiliza na kukiimba kinadetermine unavuviwa na mamilioni ya mapepo au uwepo wa malaika wasiohesabika.
Hi hayo tu.
Au hujui Mungu naye huwa anaimba.Umejuaje??
Kama unachosema ni kweli, tutajie Bendi ya Yesu ilikuwa inaitwaje? kuthibitisha uongo wako tutajie nyimbo moja aliyokuwa anatumia Yesu au hata wanafunzi wake kuabudia!Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki.
Kwaya ya kwanza iliundwa na Daudi kwa maelekezo ya Mungu. Watu wa Mungu kwenye maandiko wanaimba kila hatua. Mfano baada ya kutoka misri waliimba.Kama unachosema ni kweli, tutajie Bendi ya Yesu ilikuwa inaitwaje? kuthibitisha uongo wako tutajie nyimbo moja aliyokuwa anatumia Yesu au hata wanafunzi wake kuabudia!
Mziki kama ibada mmetengenezewa na warumi pamoja na washirika wao wagiriki na ndo maana hata asili ya choir inatokea huko!
Hawakuwahi kuabudu kwa muziki wayahudi wala waliotangulia kabla yao!
Dini haendi kwa mtazamo, weka nyimbo aliyokuwa anaimba Yesu hapa!Kwaya ya kwanza iliundwa na Daudi kwa maelekezo ya Mungu. Watu wa Mungu kwenye maandiko wanaimba kila hatua. Mfano baada ya kutoka misri waliimba.
Yesu baada ya kushiriki pasaka waliimna na yeye akiwemo
Mungu anaimba, kwenye maandiko.
Mbinguni wote tutaimba
Hii haihitaji hata mjadala
Huo sio mtazamo ni maandiko.Dini haendi kwa mtazamo, weka nyimbo aliyokuwa anaimba Yesu hapa!
ubarikiwe sanaKuna wakati nilikuwa nchi za watu nilisikiliza mziki kwenye laptop kupitia earphones mara nilitupa earphones mezani kwa jinsi ala ile ya muziki ilivyokuwa ya kishetani! Nilijiskia hovyo mno na kuvamiwa na pepo siku nzima ila kwa bahati nzuri nilikuwa nimeshamfahamu Bwana Mkubwa Yesu Kristo. Niliyacharaza mapepo kwa maombi na asubuhi na mapema ile naamka tu usingizini nilikia kitu kikilia kwa heeeeerrrrrrr!!! Na ilikuwa ndio bye bye. Kuwa mwagalifu sana na miziki na picha inazoangalia!
Mbona kwenye sala hamjaishia kuambiwa kuwa Yesu alisali bali mliambiwa specifically alisali vipi!Huo sio mtazamo ni maandiko.
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yu katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba.
YESU
Mark 14:26 and Matthew 26:30, after the Last Supper, “After singing a hymn, they [Jesus and the disciples] went out to [Gethsemane on] the Mount of Olives,”
Kuhusu wimbo gani haujasemwa ila waliimba na kwa mujibu wa desturi ya kiyahudi siku ya pasaka ullimbwa wimbo wa zaburi 118 na zaburi ny8ngine katika kila hatua ya sherehe za Pasaka