matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
Unachanga uislam na Yesu. Yesu hakuwahi kuandika au kutelemshiwa kitabu kinatotwa injili. Hizo ni hoja zisizo na ushahidi za kiislam ambazo huwa hawawezi kujibu.Mbona kwenye sala hamjaishia kuambiwa kuwa Yesu alisali bali mliambiwa specifically alisali vipi!
Kama Yesu aliimba then trust me that should have been the best of the songs na hakuna mwanafunzi wake ambae angeacha kufundisha watu huo wimbo!!!
Yesu alihubiri injili, na hiki ni kitabu katika vitabu vya Mungu vilivyoteremshwa kwa wanadamu! Kama ambavyo Quran iliteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW), injili iliteremshwa kwa Yesu, Zaburi iliteremshwa kwa Daudi na Torah iliteremshwa kwa Mussa.
Hujawahi kuona waislamu wakisoma Quran kwa mahadhi tofauti? are you calling it a song?
You don't know what song he sang because you don't actually know the "Injeel" that he preached! Hakuna aliyepo duniani sasa hivi anayejua Injili kama ilivyo fundishwa na Yesu, the same hakuna anaejua Torah kama ilivyo fundishwa na Mussa na ndo maana hata kwenye biblia mnasema "kumbukumbu la torati" coz the actual Torah was not even known kwa ukamilifu wake wakati huo!
Tukirudi kwenye hoja. Mungu mwenyewe anaimba sio Yesu tu. Hilo tumetoa Aya halihitaji kutafuta maneno mengi kulitetea. Liko moja kwa moja mkuu.