Watu wengi wana mapepo ya kimyakimya na yenye kelele kwa sababu ya Miziki na nyimbo wanayosikiliza

Unachanga uislam na Yesu. Yesu hakuwahi kuandika au kutelemshiwa kitabu kinatotwa injili. Hizo ni hoja zisizo na ushahidi za kiislam ambazo huwa hawawezi kujibu.

Tukirudi kwenye hoja. Mungu mwenyewe anaimba sio Yesu tu. Hilo tumetoa Aya halihitaji kutafuta maneno mengi kulitetea. Liko moja kwa moja mkuu.
 
Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…