Watu wengi wanaompenda Lionel Messi wana IQ kubwa mno kuliko wale ambao wanampenda Christiano Ronaldo ambao wana chache

Messi now yeye anachezesha na kupandisha team na mambo mengine kama assist..
Yeye Ronaldo siku hizi anakaa katikati, anavizia mipira, anacheza na ule mstari wa offside! kisha anafunga!.
Siku zote usiangalie goli tuu angalia hilo goal movement yake imeanzia kwa nani??
Kwangu Mimi mechi ya juve nampa pongezi
Federico bernadeschi master plan..
 
Mimi nimekuelewa tena vizuri sana..
Nasisitiza unahitaji akili za ziada kuelewa content nzima ya mleta mada...
MESSI VS RONALDO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man U,Real Madrid and Juventus..
Dwarf toka kadogo mpaka kana zeeka kameng'ang'ania Barcelona...
 
Despite that iam Messi Fan, there is no Logic in this Content!
 
Waulize wale mabeki wa Lyon na Boateng wa Bayern watakupa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaahaaahaaah, wonderfully, nahis ulipoandika Ronaldo unamaanisha Messi and vice versa is true, vingnevyo unaharisha tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lionel Messi ameshafanya mara 51 zaidi ya mara 9 ya alichokifanya huyo Christiano Ronaldo wenu hapo jana. Magoli yenyewe yote ni ya Ndondokela / Kubahatsha tupu.
We jamaa mbona unapunguza siku zako za kuishi kwa kuumizwa na vitu ambavyo huwezi vizuia , we Kama unamshabikia mtu fulan endelea tu kumshabikia ila unachofanya hapa ni kujiongezea stress, na kigenerate homone ambazo zitakuganya uwahi kuzeeka, achana na ushabiki wa kipuuzi, ww Kama unampenda mkeo iwe Siri yako tu, Sasa usitake Kila mtu ampende mkeo utakuja kufa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenga za mikasi hata mimi napiga wewe hujui mpira kabisa
 
Utetezi wako si wa kimpira na ni wa uongo sababu sifa ulizo mpa Ronaldo hana sifa hizo, Ronaldo ni goal score sio complete player lakini Messi ni complete player ana kila skills ndiyo maana ukiwashindanisha hata kwa namba Cr7 ameachwa mbali sana
 
Wewe ni Muongo sana mkuu ni kweli unaangaliaga mechi ambazo Messi anacheza eti Messi hajui kupiga chenga seriously mkuu
 
Ongeza kuwa Wanaompenda Mmorocco kwa 99.5% ni Watu wa Vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…