Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Mkuu, leta updates za mechi za uefa mda huu hapa kama unacheckAFE YULE MSEMAJ ANAYEIPONZA TIMU KWA MANENO YAKE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, leta updates za mechi za uefa mda huu hapa kama unacheckAFE YULE MSEMAJ ANAYEIPONZA TIMU KWA MANENO YAKE.
...prefer...to...Ronaldo ndo anatumia Akili nyingi zaidi kwasababu sio natural gifted kama Messi. Inamaana Messi anajua mpira bila juhudi yoyote. Ronaldo anajua Mpira kwa Juhudi binafsi so I prefer Ronaldo than Messi japo najua Messi ni zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize wale mabeki wa Lyon na Boateng wa Bayern watakupa majibuHuwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli la kukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Haaaahaaahaaah, wonderfully, nahis ulipoandika Ronaldo unamaanisha Messi and vice versa is true, vingnevyo unaharisha tu hapaHuwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli ila tukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
We jamaa mbona unapunguza siku zako za kuishi kwa kuumizwa na vitu ambavyo huwezi vizuia , we Kama unamshabikia mtu fulan endelea tu kumshabikia ila unachofanya hapa ni kujiongezea stress, na kigenerate homone ambazo zitakuganya uwahi kuzeeka, achana na ushabiki wa kipuuzi, ww Kama unampenda mkeo iwe Siri yako tu, Sasa usitake Kila mtu ampende mkeo utakuja kufa bure.Lionel Messi ameshafanya mara 51 zaidi ya mara 9 ya alichokifanya huyo Christiano Ronaldo wenu hapo jana. Magoli yenyewe yote ni ya Ndondokela / Kubahatsha tupu.
Chenga za mikasi hata mimi napiga wewe hujui mpira kabisaHuwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli ila tukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Utetezi wako si wa kimpira na ni wa uongo sababu sifa ulizo mpa Ronaldo hana sifa hizo, Ronaldo ni goal score sio complete player lakini Messi ni complete player ana kila skills ndiyo maana ukiwashindanisha hata kwa namba Cr7 ameachwa mbali sanaHahahahaaa mkuu mbona unatoka kwenye reli? Hapa si tunamuongelea CR7 na Messi, sasa Mimi nimeingiaje hapa, tafiti ipingwe kwa tafiti,
Pinga hoja yangu kwa tafiti sio uswahili, acha uswahili mzee, we unanijua Mimi hadi uniongelee na kushindwa kumtetea kaka yenu Messi?
Complete Football inachezwa na Messi huyu Cr7 ni mfungaji mzuri sana huu ndiyo ukweliNikitaka kuona mpira mzuri, pasi za uhakika, magoli ya kuburudisha, mabeki wanavyopata tabu kumkaba naenda kwa Mess.
Nikitaka kuona matokeo tu ya mechi naenda kwa Ronaldo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Muongo sana mkuu ni kweli unaangaliaga mechi ambazo Messi anacheza eti Messi hajui kupiga chenga seriously mkuuHuwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli ila tukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Wewe ni Muongo sana mkuu ni kweli unaangaliaga mechi ambazo Messi anacheza eti Messi hajui kupiga chenga seriously mkuu
Kweli mkuu najiomba radhi kujibu hoja yake bubu lakini uzuri technology imesambaa anaweza tafuta ushahidi na maarifa mitandaoniNimesoma alichoandika jamaa..nimegundua ni kichaa,acha kupoteza mda wako kubishana nae,mtafutie msaada wa kitabibu
Sent using Jamii Forums mobile app