Watu wengi wanaompenda Lionel Messi wana IQ kubwa mno kuliko wale ambao wanampenda Christiano Ronaldo ambao wana chache

Messi now yeye anachezesha na kupandisha team na mambo mengine kama assist..
Yeye Ronaldo siku hizi anakaa katikati, anavizia mipira, anacheza na ule mstari wa offside! kisha anafunga!.
Siku zote usiangalie goli tuu angalia hilo goal movement yake imeanzia kwa nani??
Kwangu Mimi mechi ya juve nampa pongezi
Federico bernadeschi master plan..
 
Mimi nimekuelewa tena vizuri sana..
Nasisitiza unahitaji akili za ziada kuelewa content nzima ya mleta mada...
MESSI VS RONALDO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man U,Real Madrid and Juventus..
Dwarf toka kadogo mpaka kana zeeka kameng'ang'ania Barcelona...
 
Despite that iam Messi Fan, there is no Logic in this Content!
 
Huwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli la kukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Waulize wale mabeki wa Lyon na Boateng wa Bayern watakupa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli ila tukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Haaaahaaahaaah, wonderfully, nahis ulipoandika Ronaldo unamaanisha Messi and vice versa is true, vingnevyo unaharisha tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lionel Messi ameshafanya mara 51 zaidi ya mara 9 ya alichokifanya huyo Christiano Ronaldo wenu hapo jana. Magoli yenyewe yote ni ya Ndondokela / Kubahatsha tupu.
We jamaa mbona unapunguza siku zako za kuishi kwa kuumizwa na vitu ambavyo huwezi vizuia , we Kama unamshabikia mtu fulan endelea tu kumshabikia ila unachofanya hapa ni kujiongezea stress, na kigenerate homone ambazo zitakuganya uwahi kuzeeka, achana na ushabiki wa kipuuzi, ww Kama unampenda mkeo iwe Siri yako tu, Sasa usitake Kila mtu ampende mkeo utakuja kufa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli ila tukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Chenga za mikasi hata mimi napiga wewe hujui mpira kabisa
 
Hahahahaaa mkuu mbona unatoka kwenye reli? Hapa si tunamuongelea CR7 na Messi, sasa Mimi nimeingiaje hapa, tafiti ipingwe kwa tafiti,
Pinga hoja yangu kwa tafiti sio uswahili, acha uswahili mzee, we unanijua Mimi hadi uniongelee na kushindwa kumtetea kaka yenu Messi?
Utetezi wako si wa kimpira na ni wa uongo sababu sifa ulizo mpa Ronaldo hana sifa hizo, Ronaldo ni goal score sio complete player lakini Messi ni complete player ana kila skills ndiyo maana ukiwashindanisha hata kwa namba Cr7 ameachwa mbali sana
 
Huwezi ku-force hata siku moja Ronakdo afanane na Messi, CR7 ni wa kipekee "unique" this is a fact,
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Messi akipiga hata chenga za mikasi yani chenga za huyu jamaa ni mbio mbio tu mtindo mmoja, (dribbling)
Akiukamata mpira atalazimisha lazimisha kukimbia nao hadi akafunge na mnatuambia Messi ana kipaji halisi, cha mbio au?,
Ronaldo ni natural skilled player mwenye huwezo wa kuuchezea mpira kivyovyote atakavyo na at the same time ana juhudi,
Nenda ka-search Youtube "CR7" skills utaona relative videos nyingine zinakuja za Ronaldinho, Ronaldo de Lima Zidane, Neymar skills etc,
Ikija video ya Messi basi itakuwa ni Vs CR7 goals not skills, ni Mara chache sana youtube kukuta Messi's skills, japo zipo lakini ni chache sana,
Mimi sikatai Messi ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli ila tukija kwenye masuala ya skills & best goals, CR7 is "unique"
Wewe ni Muongo sana mkuu ni kweli unaangaliaga mechi ambazo Messi anacheza eti Messi hajui kupiga chenga seriously mkuu
 
Ongeza kuwa Wanaompenda Mmorocco kwa 99.5% ni Watu wa Vijijini
 
Back
Top Bottom