Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano
Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani , zinapita siku muuzaji anamrudia yule mteja , mteja anakuwa kashabadili mawazo au kanunua hiko kitu sehemu nyengine kwa bei nafuu tayari deal lishafeli
Au demu katokewa na mwamba anaanza kudengua mashauzi kibao
Halafu mwamba anakutana na pisi kali zaidi , yule demu anaanza kujibu meseji alizokuwa hajibu wakati mwamba kashaopoa mali kali zaidi yule anaanza kumuona kinyago hapo ndo inatimia ila methali ya wahenga chelewa chelewa utakuta mwana si wako
View: https://www.instagram.com/reel/DSeX4bRiK5L/?igsh=aXp2ODFjZnZ1eDFs