Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta.
Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi.
Idadi ya mafundi wengi ukosea kutengeza na kupelekea kupata matatizo na kusababisha vifo mifano mingi tunayo ukilinganisha na ndege japo inaweza kutokea ila inaweza kuchukua hatua na kusalimika.
Lilotokea Iran ni sawa sawa na kenya na yote makosa ya kiufundi ambayo helikopta ikishindikana sana kwenye matengenezo au mafundi wakishindwa kujua tatizo ndio haya ya kudondoka tu.
Mkibisha mtakuja kuniambia ripoti yake