Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima.
Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42.
Pia soma GE2025 - Watanzania 17 washtakiwa kwa Uhaini Dodoma, idadi yafikia watu 162 nchi nzima