Akili ndio kitu huna, poleHoyo ndo hasara,kila muda nazidi kuwasaa vijana wadogo wanaondeshwa kwa miemkoo mtaozeaa huko gerezani!
Kijana kumbuka future yako ni kubwa kuliko izo vurugu zisizokuwa na maana yoyote!
Mwenye masikio na asikie
Akili ndio kitu huna, poleHoyo ndo hasara,kila muda nazidi kuwasaa vijana wadogo wanaondeshwa kwa miemkoo mtaozeaa huko gerezani!
Kijana kumbuka future yako ni kubwa kuliko izo vurugu zisizokuwa na maana yoyote!
Mwenye masikio na asikie
Sawa sawa mkuu.Akili ndio kitu huna, pole
Nakuuliza wewe, sababu umejipa jukumu kutetea uovu, kusherekea mauaji, mateso, kutekwa, kupotezwa kwa Watanganyika.Waulize Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama jina lako umeshalipwa na kusepa.Hoyo ndo hasara,kila muda nazidi kuwasaa vijana wadogo wanaondeshwa kwa miemkoo mtaozeaa huko gerezani!
Kijana kumbuka future yako ni kubwa kuliko izo vurugu zisizokuwa na maana yoyote!
Mwenye masikio na asikie
Unaniuliza mimi kwani mimi ni katiba ya Tanzania? Nenda kasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Nakuuliza wewe, sababu umejipa jukumu kutetea uovu, kusherekea mauaji, mateso, kutekwa, kupotezwa kwa Watanganyika.
Jibu haya maswali.
1. Wenye nchi wana haki kujua pesa. zao zinavyotumika?
2. Wenye nchi, walipa kodi wana haki ta kuchagua viongozi wanaowataka kwenye chaguzi huru, wazi na za haki kuendesha maisha yao?
Ili kipone.Adding salt to an injury.
Ili maumivu yaongezeke lakini yatapona baadayeIli kipone.
Kwa vigezo vya serikali ya Samia watu wote wanaodai utawala bora, kuchagua watu wanaowataka wenye fikra huru, wanaotaka uwajibikaji, rasilimali zetu kutumika vizuri kwa manufaa ya wananchi wote na siyo kwa familia za Samia, Abdul, Mchengerwa, Kikwete, Rostam, Kizigha ni wahaini.Kuna haja ya kuweka paa uwanja wa Mkapa na shamba la bibi vitumike kama mahabusu maana nchi nzima ni wahaini kwa sasa
Unaniuliza mimi kwani mimi ni katiba ya Tanzania? Nenda kasome Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pitia hapa:
Sahau haki hapo , scarification & crusification mode ON, hapo mbuzi wakafala wanahitajikaHaki itendeke na kila mmoja apate haki yake.
Chumvi huleta uhai, katika mazingira haya ongezeko kubwa la kuwashitaki watu wengi ni kuzidi kuchocheq harira za wananchi waliobaki maana kila mtu yuko mashakani. Hata wewe.2 Wafalme 2:21
Elisha akaenda kwenye chemchemi ya maji, akatupa chumvi hiyo ndani na kusema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa; tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.”
Kwani wewe ni mtoto?Nakuuliza wewe, sababu umejipa jukumu kutetea uovu, kusherekea mauaji, mateso, kutekwa, kupotezwa kwa Watanganyika.
Jibu haya maswali.
1. Wenye nchi wana haki kujua pesa. zao zinavyotumika?
2. Wenye nchi, walipa kodi wana haki ta kuchagua viongozi wanaowataka kwenye chaguzi huru, wazi na za haki kuendesha maisha yao, kujua kodi zao zinatumikaje?
Kaka mbona unajichanganya. Ulisema kinatiwa chumvi kidonda. Nikakuambia ili kipone. Kwani kupona kidonda siyo uhai?Chumvi huleta uhai, katika mazingira haya ongezeko kubwa la kuwashitaki watu wengi ni kuzidi kuchocheq harira za wananchi waliobaki maana kila mtu yuko mashakani. Hata wewe.
Bado kaka. Hiyo ni simple batch. Kuna Medium Batch, Kuna Level 3 Batch, halafu ipo International Batch. Kaa mkao wa kula.Hao ndo wale walio toka nje?
Mbona majina yote ya kitanzania
Haya, mnaamua kupambana na matawi na kuacha mzizi. Na mzizi hauguswi maana uko upande wao ila ikishindikana kabisa Mungu ataingilia na kuiamua hii kesi. Usishangae miaka 5 ijayo baadhi yao nao wakawa wanaitwa marehemuPia kuna wale walioibiwa mali zao na kuchomewa moto mali zao,kila mtu apate haki yake.