GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kaka mbona unajichanganya. Ulisema kinatiwa chumvi kidonda. Nikakuambia ili kipone. Kwani kupona kidonda siyo uhai?
Kwa mazingira ya kawaida chumvi ukiweka kwenye kidonda lazima maumivu yaongezeke na ndiyo kupona kwenyewe
 
Hao walioshitakiwa, pamoja na wengine wengi waliochochea vurugu, uvunjifunwa amani, mauaji, uharibifu, taharuki na ugaidi!
Kwenye hilo kundi wapo pia wale waliokua wanawafata watu nyumbani na kuwamiminia risasi? Au hao wanastahili nishani za ushujaa
 
Kwenye hilo kundi wapo pia wale waliokua wanawafata watu nyumbani na kuwamiminia risasi? Au hao wanastahili nishani za ushujaa
Kwahiyo gaidi akifanya unyama na kwenda kujificha nyumbani ndio anakuwa sio gaidi au? Ur joking!
 
Kwa vigezo vya serikali ya Samia watu wote wanaodai utawala bora, kuchagua watu wanaowataka wenye fikra huru, wanaotaka uwajibikaji, rasilimali zetu kutumika vizuri kwa manufaa ya wananchi wote na siyo kwa familia za Samia, Abdul, Mchengerwa, Kikwete, Rostam, Kizigha ni wahaini.

80% ya JF members na Watanzania watakuwa na kosa la wahaini.

Chawa kama wewe, familia za hao majambazi, Wahuni waliolipwa mabilioni kutetea uovu ndio watatetea nchi yao kuuzwa, rasilimali zao zote na kodi zao kuhamishwa kwa hizi familia chache.
Mkuu nitake radhi, mimi si chawa, siwezi kuwa chawa, na sitakuja kuwa chawa.

Kusema waongeze magereza hukuelewa maana yangu. Maana yangu ni kwamba wapigania haki hatutachoka hivyo wote tutahukumiwa uhaini kwa idadi hiyo magereza yaliyopo hayatoshi ndio maana nikawapa option ya uwanja wa Mkapa sababu ni pakubwa
 
Be absolute clear, crystal clear ushauri wako kwa vijana ni upi?
 
Karibu posts and threads zako zote. Sio tu unatetea unashangilia mauaji.

Do you have conscious?
 
DO NOT INTERRUPT YOUR ENEMY WHEN HE IS MAKING A GRAVE MISTAKE
 
Kbtal amepata wateja, ndani ya miaka 2 atakuwa tajiri
Piga hesabu kila mmoja awe anampatia posho ya Tsh 1,000,000 kwa mwezi maana yake kwa mwezi anaingiza Tsh 187,000,000, ndani ya miaka miwili anakula Tsh 4,488,000,000
Kwahiyo hutaki watetewe na Kibatala??
Tunafahamu serikali huwa inatoa mawakili wa bure kwa kesi kama hizi.
Lakini ni nani atakubali kutetewa na mawakili wa serikali akina Katuga wakati kila siku wanawekwa uchi kwenye kesi mbalimbali?
Nakushauri unaweza kupeleka pingamizi mahakamani la kumkataa Kibatala kuwa wakili wa watuhumiwa.
 
Haya, mnaamua kupambana na matawi na kuacha mzizi. Na mzizi hauguswi maana uko upande wao ila ikishindikana kabisa Mungu ataingilia na kuiamua hii kesi. Usishangae miaka 5 ijayo baadhi yao nao wakawa wanaitwa marehemu
Hata hueleweki umeandika nini!
 
Kwahiyo hutaki watetewe na Kibatala??
Tunafahamu serikali huwa inatoa mawakili wa bure kwa kesi kama hizi.
Lakini ni nani atakubali kutetewa na mawakili wa serikali akina Katuga wakati kila siku wanawekwa uchi kwenye kesi mbalimbali?
Nakushauri unaweza kupeleka pingamizi mahakamani la kumkataa Kibatala kuwa wakili wa watuhumiwa.
Lini ulishawahi kuona Wakili wa Serikali anakuwa against na Serikali? Serikali ndiyo imemshitaki kwa kufanya Crime, halafu Serikali hiyo hiyo imtetee!! You are such stupid creature.
 
Hata hueleweki umeandika nini!
Uwezo wako mdogo sana mdogo wangu, unahitaji kuwa na IQ kubwa sana kuielewa mistari ya akili kama hii. Kasikilize bongo fleva ndo uwezo wako unakoweza kuelewa
 
Lini ulishawahi kuona Wakili wa Serikali anakuwa against na Serikali? Serikali ndiyo imemshitaki kwa kufanya Crime, halafu Serikali hiyo hiyo imtetee!! You are such stupid creature.
Wewe ni kilaza aisee halafu hujui chochote kumbuka kesi ya Lissu serikali ilimpelekea wakili akakataa...
Usipokuwa na uwezo wa kujitetea mwenyewe au kuwa na wakili wako kupewa wakili na serikali ni haki.
Mfano makosa kama ya uhaini n.k.
Fanya tafiti acha kuchukua elfu saba za bure hapo lumumba.
 
Back
Top Bottom