Na wale waliouwawa haki yao wanaipata vipi?Haki itendeke na kila mmoja apate haki yake.
Sasa unaniuliza mimi, kwani mimi ni baba yako?Na wale waliouwawa haki yao wanaipata vipi?
Wauawaji ni wapi hao?Hongera serikali kwa kupambana na wahalifu, wezi na wauaji!
Pia kuna wale walioibiwa mali zao na kuchomewa moto mali zao,kila mtu apate haki yake.Na wale waliouwawa haki yao wanaipata vipi?
Hao walioshitakiwa, pamoja na wengine wengi waliochochea vurugu, uvunjifunwa amani, mauaji, uharibifu, taharuki na ugaidi!Wauawaji ni wapi hao?
Mashujaa sasa hivi wapo gerezani, wewe upo hapa JF unakula ubuyu wa mange.Watanzania msipojitoa muhanga mtajaa mahabusu
Hongera serikali kwa kupambana na wahalifu, wezi na wauaji!
Mkuu mbona wewe umejitoa hapo?Watanzania msipojitoa muhanga mtajaa mahabusu
Haki ni nini kwa wananchi?Haki itendeke na kila mmoja apate haki yake.
Waulize Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Haki ni nini kwa wananchi?