Kwa mazingira ya kawaida chumvi ukiweka kwenye kidonda lazima maumivu yaongezeke na ndiyo kupona kwenyeweKaka mbona unajichanganya. Ulisema kinatiwa chumvi kidonda. Nikakuambia ili kipone. Kwani kupona kidonda siyo uhai?
Hapo sawa. Gen Z wanapata somo kwa njia ngumu.Kwa mazingira ya kawaida chumvi ukiweka kwenye kidonda lazima maumivu yaongezeke na ndiyo kupona kwenyewe
Kwenye hilo kundi wapo pia wale waliokua wanawafata watu nyumbani na kuwamiminia risasi? Au hao wanastahili nishani za ushujaaHao walioshitakiwa, pamoja na wengine wengi waliochochea vurugu, uvunjifunwa amani, mauaji, uharibifu, taharuki na ugaidi!
Kwahiyo gaidi akifanya unyama na kwenda kujificha nyumbani ndio anakuwa sio gaidi au? Ur joking!Kwenye hilo kundi wapo pia wale waliokua wanawafata watu nyumbani na kuwamiminia risasi? Au hao wanastahili nishani za ushujaa
Wewe una akili timamu?Kwani wewe ni mtoto?
Mkuu nitake radhi, mimi si chawa, siwezi kuwa chawa, na sitakuja kuwa chawa.Kwa vigezo vya serikali ya Samia watu wote wanaodai utawala bora, kuchagua watu wanaowataka wenye fikra huru, wanaotaka uwajibikaji, rasilimali zetu kutumika vizuri kwa manufaa ya wananchi wote na siyo kwa familia za Samia, Abdul, Mchengerwa, Kikwete, Rostam, Kizigha ni wahaini.
80% ya JF members na Watanzania watakuwa na kosa la wahaini.
Chawa kama wewe, familia za hao majambazi, Wahuni waliolipwa mabilioni kutetea uovu ndio watatetea nchi yao kuuzwa, rasilimali zao zote na kodi zao kuhamishwa kwa hizi familia chache.
Ugaidi maana yake nini?Kwahiyo gaidi akifanya unyama na kwenda kujificha nyumbani ndio anakuwa sio gaidi au? Ur joking!
Mbona upo na maswali ya kitoto sana?Wewe una akili timamu?
Kwanini unashangilia mauaji, turned on na utekaji, utesaji wa raia wenye haki zote kuishi kwa uhuru kwenye nchi yao walipozaliwa wenyewe na babu zao?
Be absolute clear, crystal clear ushauri wako kwa vijana ni upi?Mkuu nitake radhi, mimi si chawa, siwezi kuwa chawa, na sitakuja kuwa chawa.
Kusema waongeze magereza hukuelewa maana yangu. Maana yangu ni kwamba wapigania haki hatutachoka hivyo wote tutahukumiwa uhaini kwa idadi hiyo magereza yaliyopo hayatoshi ndio maana nikawapa option ya uwanja wa Mkapa sababu ni pakubwa
Unatetea wauaji, watesaji, watekaji, mafisadi wa Tanzania.Mbona upo na maswali ya kitoto sana?
Wapi nimetetea?Unatetea wauaji, watesaji, watekaji, mafisadi wa Tanzania.
Unatetea ndugu zako kuuwawa hovyo. Nani ana hoja za kitoto, msaliti, anaangalia tumbo lake?
Kwahiyo hutaki watetewe na Kibatala??Kbtal amepata wateja, ndani ya miaka 2 atakuwa tajiri
Piga hesabu kila mmoja awe anampatia posho ya Tsh 1,000,000 kwa mwezi maana yake kwa mwezi anaingiza Tsh 187,000,000, ndani ya miaka miwili anakula Tsh 4,488,000,000
Hata hueleweki umeandika nini!Haya, mnaamua kupambana na matawi na kuacha mzizi. Na mzizi hauguswi maana uko upande wao ila ikishindikana kabisa Mungu ataingilia na kuiamua hii kesi. Usishangae miaka 5 ijayo baadhi yao nao wakawa wanaitwa marehemu
Lini ulishawahi kuona Wakili wa Serikali anakuwa against na Serikali? Serikali ndiyo imemshitaki kwa kufanya Crime, halafu Serikali hiyo hiyo imtetee!! You are such stupid creature.Kwahiyo hutaki watetewe na Kibatala??
Tunafahamu serikali huwa inatoa mawakili wa bure kwa kesi kama hizi.
Lakini ni nani atakubali kutetewa na mawakili wa serikali akina Katuga wakati kila siku wanawekwa uchi kwenye kesi mbalimbali?
Nakushauri unaweza kupeleka pingamizi mahakamani la kumkataa Kibatala kuwa wakili wa watuhumiwa.
Uwezo wako mdogo sana mdogo wangu, unahitaji kuwa na IQ kubwa sana kuielewa mistari ya akili kama hii. Kasikilize bongo fleva ndo uwezo wako unakoweza kuelewaHata hueleweki umeandika nini!
Wewe ni kilaza aisee halafu hujui chochote kumbuka kesi ya Lissu serikali ilimpelekea wakili akakataa...Lini ulishawahi kuona Wakili wa Serikali anakuwa against na Serikali? Serikali ndiyo imemshitaki kwa kufanya Crime, halafu Serikali hiyo hiyo imtetee!! You are such stupid creature.