Watu wenye akili nchi hii wapo. Tatizo ni kupewa vyeo kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,466
Reaction score
4,916
Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili.

Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote,
wazee wa ndiyo ndio huonekana wanafaa na ndio hupendekezwa kwenye nafasi fulani fulani.

Mwisho wa siku hawa ndiyo wanakuja kuwa senior civil servant na decision makers. Bahati mbaya 90% ya watu hawa ni C student silaha yao kubwa ni kujipendekeza na unafiki, ndiyo maana siku hizo maofisini watu wamewekza kwenye uchawa kuliko weledi. Maana weledi haulipi. Sasa hawa watu wapofikia level ya senior civil servant na kuwa na majukumuu makubwa ya kutoa maamuzi ndiyo hapo madudu tupu. Refer Clip ya Job Ndugai kuhusu negotiations.

Shida ya big brain huwa wanajiamini, wanaamini katika uwezo wao, hawaamini katika unyenyekevu na kujipendekeza ili kufanikiwa kwenye utuminishi, hawapendi kujitembekeza. Matokeo yao wengi wao huishia kipigwa vita na kushafuliwa mafaili kwa hoja ya kutokuwa watiifu. Kwahiyo tuendelee kuwa wavumilivu kwakuwa tumechagua utiifu Kama njia ya kupata tija badala ya uwezo wa mtu.
 
Japo kuwa na uwezo hakukufanyi wewe kukosa unyenyekevu...Lakini hawa wanaopandishwa maranyingi siyo wanyenyekevu in such bali ni wanafiki, wanafanya unyenyekevu kama njia ya kupata nafasi, but waki assume roles na positions ambazo zinawapa maamuzi makubwa ndiyo hawasikilizi, wala hawajali...Because are not humble na hawana integrity kwahiyo hata kufanya hujuma ni kawaida kwao kwakua conscious zao tayari zipo corrupted
 
IMG_20221017_200817.jpg
 
Ni kweli lakini naona kwetu swala la unyenyekevu linapewa % nyingi huku uwezo ukipewa nafasi ndogo. Mwisho wa siku tunapata viongozi ambao hawawezi kujisimamia na kuwa na misimamo hata kwa mambo ya wazi, kwakuwa tu linakuwa Ni jambo la mkubwa
 
Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili.

Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote,
wazee wa ndiyo ndio huonekana wanafaa na ndio hupendekezwa kwenye nafasi fulani fulani.

Mwisho wa siku hawa ndiyo wanakuja kuwa senior civil servant na decision makers. Bahati mbaya 90% ya watu hawa ni C student silaha yao kubwa ni kujipendekeza na unafiki, ndiyo maana siku hizo maofisini watu wamewekza kwenye uchawa kuliko weledi. Maana weledi haulipi. Sasa hawa watu wapofikia level ya senior civil servant na kuwa na majukumuu makubwa ya kutoa maamuzi ndiyo hapo madudu tupu. Refer Clip ya Job Ndugai kuhusu negotiations.

Shida ya big brain huwa wanajiamini, wanaamini katika uwezo wao, hawaamini katika unyenyekevu na kujipendekeza ili kufanikiwa kwenye utuminishi, hawapendi kujitembekeza. Matokeo yao wengi wao huishia kipigwa vita na kushafuliwa mafaili kwa hoja ya kutokuwa watiifu. Kwahiyo tuendelee kuwa wavumilivu kwakuwa tumechagua utiifu Kama njia ya kupata tija badala ya uwezo wa mtu.
Umenena yaliyo kweli.

Akili kubwa huhoji. Wasiohoji ndio hupendelewa. Wakubwa hawapendi challenge.

Nafasi za kuteuliwa zifutwe.

Kuanzia Mwl mkuu hadi waziri aombe kazi.

Kuwe na kamati ya kuajiri japo kila mkoa.

Watakaoajiriwa hawatakuwa machawa. Watafuata sheria.

Mimi hayo uliyoyasema yamenikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nikujue Kajekudya leo umeto madini.
 
Kasome 48 laws of power,kama we ni smart na unataka fika juu usidisturb ego za walio juu yako,subiri wakuachie ufike juu ndo onyesha rangi yako.
 
Aise. Kazi tunayo
 
Umenena yaliyo kweli.

Akili kubwa huhoji. Wasiohoji ndio hupendelewa. Wakubwa hawapendi challenge.

Nafasi za kuteuliwa zifutwe.

Kuanzia Mwl mkuu hadi waziri aombe kazi.

Kuwe na kamati ya kuajiri japo kila mkoa.

Watakaoajiriwa hawatakuwa machawa. Watafuata sheria.

Mimi hayo uliyoyasema yamenikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. I know how it feels like
 
angalia kitira alikuwa ana akili tikamu but wameona huyu ni kumuundia wizara ambayo hata haikuwepo ili tu awe chawa
Na kweli kawa chawa!
angalia aliye wizara ya Kilimo before hajapewa wizara
Yaani shida kubwa ya huku kwetu
Wanaofanya siasa ni wachumia tumbo
Hivyo wakipewa ulaji tu
Maneno yote kwisha
 
Shida ni mfumo mbovu wa vetting, teuzi zimekaa kiukoo na kichawa kama huna ndugu serikali huwezi kupata kazi hata ya kuwa VEO/WEO, angalia vyeo vya maamuzi wamewekana ndugu tupu wenye uwezo mkubwa wapo pembeni kama ulivyosema ni maadui hawatakiwi maana hawajipendekezi.
 
Hiyo ndiyo shida watu. Dunia ya leo kiongozi anataka kinyenyekewa, kutukuzwa nankusifiwa. May be mtu aniambie ni tija ipi Nchi inapata kwa viongozi wake kinyenyekewa na kitukuzwa. Mbona wenzetu mbele huko viongozi ni watu wa kawaida, mbona wanajari zaidi uwezo wa mtu bila hata kujali hulka zake so long haziathiri ufanisi wake na taasisi na Hawa Hawa ndiyo wana maendeleo makubwa. Sisi tunaongangania kinyenyekewa maofisni where are we!?
 
Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili.

Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote,
wazee wa ndiyo ndio huonekana wanafaa na ndio hupendekezwa kwenye nafasi fulani fulani.

Mwisho wa siku hawa ndiyo wanakuja kuwa senior civil servant na decision makers. Bahati mbaya 90% ya watu hawa ni C student silaha yao kubwa ni kujipendekeza na unafiki, ndiyo maana siku hizo maofisini watu wamewekza kwenye uchawa kuliko weledi. Maana weledi haulipi. Sasa hawa watu wapofikia level ya senior civil servant na kuwa na majukumuu makubwa ya kutoa maamuzi ndiyo hapo madudu tupu. Refer Clip ya Job Ndugai kuhusu negotiations.

Shida ya big brain huwa wanajiamini, wanaamini katika uwezo wao, hawaamini katika unyenyekevu na kujipendekeza ili kufanikiwa kwenye utuminishi, hawapendi kujitembekeza. Matokeo yao wengi wao huishia kipigwa vita na kushafuliwa mafaili kwa hoja ya kutokuwa watiifu. Kwahiyo tuendelee kuwa wavumilivu kwakuwa tumechagua utiifu Kama njia ya kupata tija badala ya uwezo wa mtu.
Kwa hiyo hawana akili
 
Katika vitu vilinifanya nishindwe kuajiriwa ni tabia yangu ya kugoma kujipendekeza kwa maboss. Ni ukweli kabisa bila kujipendekeza ni nadra sana kupata vyeo. Na hili limekuwa tatizo la kitaifa. Na wale wenye uwezo wa kujipendekeza ndio hupata vyeo.

Ukifuatilia kwa undani sana utakuta wengi wa wanaojipendekeza, wana uwezo mdogo kielimu, kiutendaji, wavivu ama wapenda makuu.
 
Kabisa na wanajijua hivyo hiyo ndiyo silaha yao kubwa

Back
Top Bottom