Watu wenye ID mbaya humu JamiiForums

Ha ha ha! MOTOCHINI umenikumbusha mke wangu alipokuwa mjamzito alikuwa anasema akisikia jina langu linatajwa anasikia kichefuchefu lakini akiwa nyumbani anaona raha eti kuvaa mashati yangu tena yale ambayo hayajafuliwa.
Wewe mtu huwa mchokozi du!!
 
Eddy love jina lako pia ni baya
Tuseme tu ukweli[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mtu anaitwa "maharage ya kweli"

[emoji23][emoji23][emoji23]

Watu sijui wanawaza nini wakiwa wanafungua account. Au wanapick chochote wanachokiona karibu au chochote kinachoingia akili.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Lol! Huyu kunguni wa ulaya sijawahi kumtia machoni aisee! Watu wako very creative kwenye IDs zao lol!
Kuna ubunifu humu wengine wanapitiliza mpaka inakera sio haya tuliyo yataja yapo mengine mpaka unajiuliza kulikoni?
 
Mkuu hata mimi umenisahau daaa kwel jina lang limekosekana..? Haya bana .
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…