Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

Angekuwepo MwabBAKs sema ndiyo kashalambisha asali.
yalikuwa makelele ya njaa na madaraka. Si nia thabiti ya kuona tanganyika inkauwa democratic county.

Ni sawa na Lisu, a hopeless guy. Huwezi kuleta mgawanyiko katikati ya mapambano makali na CCM katika kupigania haki kama kweli wewe ni mpigania haki, uhuru na demkrasi, kupigania unachokiamini kutoka sakafu ya moyo wako. LISU NI POWER MONGER OF THE HIGHEST DEGREE
 
1. Askofu Bagonza
2. Freeman Mbowe
3. Ansbert Ngurumo

Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
Huyo atakuwa Mhuni Lissu. Huyo ni mhuni na kama hao wengine isipokuwa Mbowe.
 
Ccm bwana yani hata baba yako mzazi akikwambia wewe ni muongo huna akili unaona hana nia njema.
Haya nenda VETA ukaongeze kujua watu wenye nia njema kukuteka
 
Askofu bangoza ndo yule anaevaaga kikofia kama ganda la chungwa?
 
Back
Top Bottom