Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ni haki yako kuwa na mtazamo huu. Hao wengine umewataja ili kufunika tu, lakini utetezi wako hapo alikuwa ni Mbowe. Ila jua ameshindwa kihalali.1. Askofu Bagonza
2. Freeman Mbowe
3. Ansbert Ngurumo
Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.